Mitandao ya simu, hawa watu wanatoa wapi namba zetu?

Nilijua peke yangu yaani hata ukiblock Namba Moja atakutumia kwa Namba nyingine. Mi nilihisi kuna watu wananifahamu wananifanyia tu usumbufu nashukuru kusikia na wengine yamewakuta. Mamlaka zinazohusika watutolee hizo kero jamani Namba zinaonekana hapo watafuteni mtusaidie.
 
1. Ukiibiwa laini huwa unaripot mtandao Husika Kuifunga Hata Kama siyo On The spot Lakini baada Ya Muda Uta Swap Na inakuwa Vigumu Kwa mwizi Kuweza Kupata Contact Via stolen Sim Card.

2. simu Nyingi Huwa Ziko Locked Wakati Zinaibiwa na Kwa Vyovyote Huwez Itumia Simu Hadi uFlash mean while Ukiflash unafuta na Contact Za Phone book.

3. Mara Nyingi Wanaotumia Namba Baada Ya Kuiba Huwa ni Matapeli Wa Tuma Pesa Nipo Hospital Na Siyo Hawa Witch Drs.

Hawa Watu Huwa Wanabuni Namba Za Watu Na Kuwa Tumia Sms. Na Kwa Hali ilivyo Sasa Kila Namba Utayobuni ipo Active.
Kaka umewahi kujua kama line ukiblock unaweza access phone book?nnajua ninachoongea
 
Usimuite msaidizi wako wa nyumbani "beki tatu", hilo ni neno la kudhalilisha kwa mtu anayekusaidia malezi ya watoto na familia yako.

Ni neno linaleta ukakasi sana. If you think of it utaacha kumuita msaidizi wako "beki tatu".

Maneno mengi yanakera sana kwa baadhi ya watu. Beki tatu sio tusi kwa sababu hata mwanamke anaitwa "demu" linaniudhi hili jina lakini liko kwenye matumizi yasiyoumiza.
Ninamwita Beki tatu kama wanavyoita demu. Ni haki yangu kikatiba na sivunji sheria. Pole kwa kukukwaza. Calm down
 
Mkiwa mnaingia kwny majengo yenye vitabu vya kuandika jina na namba ya simu kwa wale walinzi msiandike namba za simu za kweli hawa jamaa wanaenda kununua namba kwa walinzi
Mkuu naweza kubaliana nawe kwa 99%. Leo mimi na wife tumepata ujumbe kwa muda mmoja kutoka kwa mtu mmoja na content ile ile. Si muda kuna ofisi moja nilienda naye. Hapa na-connect dots...
 
Huenda ikawa ila saa nyingine wanaweza pia kuwa matapeli.

Mie huwa nabaki na maswali tu hizi namba zetu wanazitoa wapi kama mitandao ya simu aihusiki?
Wanaotea tu namba na kuna app za automatic mobile number generator nenda jukwaa la teknolojia utaona unairun inakupa namba mbalimbali za mitandao mbalimbali yani inakupa tu minamba ovyo ovyo inaweza kuwa ya mtu yeyote hata magufuri hata marehemu
 
Mimi mwenyewe waliisha nitumia kibao lakini sikuzijibu. Mara mwingine akatuma ilenafasi ya jeshi imepatikana nipigie nikupe maelekezo zaidi nikatuma sms akasema piga sikumpigia nikajua huyu atakuwa Taperi.
 
Hii wanafanya kama staili ya "fishing expedition" kwamba wakituma hizo meseji kwa watu random lets say 100 au 1000 kuna angalau hata kumi wataangukia kwenye mtego wao wa utapeli. Hizi namba hata wewe unaweza ukazigenerate in random fashion.
 
Groups za whatsap zinaexpose namb yako so awa wanajiunga kW hzo groups wanakopi nmba, baada ya apo ndo wanarusha jiwe gizani yan,ukiskika tu ukelele ndio kashanaswa mtu.
 
Ni was*nge sana hao mimi wananisumbuaga sana iyo txt ya babu cjui nini zindiko hata mimi walinitumia
 
Mie hata leo wamenitumia hiyo airtel ambayo hata situmii what's app zaidi ya kupiga tu na mara moja 1 kitu hiki kina kera sana
 
Mie nilipata anasema eti alimpa dawa mwenye mabasi ya SUPERFEO hahaha
Hata mimi huyu aliwahibkkunitumia.

Kuna mwingine kanitumis juzi mganga jina la kike.

Pia kuna wanaodanganya watu kushinda bingo za Coca Cola.

Ni matapeli tu hao wamebuni njia zao. Ukiiwa unapenda mteremko na mambo ya ushirikina utalizwa tu.
 
Daaah mm kuna kipndi flan hv nilishawahi kutumiwa mesej km hyo lakn sikuishughulikia kwasabab nilijua n mtu tu kakosea kutuma basi na wala ckujibu chochot kbsa
 
Me mwanzo nlikuwa nawajibu kwa kuwatukana lkn baadae nikaona napoteza tu msg zangu cku hizi nikiziona hata sisomi sentence mbil inxhafuta tayar
 
Hivi kweli, wanatoa wapi namba zetu, mara mganga wa mapenzi, mara mganga wa majini, yani wananikera kweli, ukijaribu kutuma pesa, jina la namba halitokei.
 
wakuu naomba niwajibu hizi namba huwa zinapatikana vipi ,hawa watu huwa wananunua line zilizotumika kwa sh 500 mpaka 1000 za kitanzania kwa line moja na wanaowauzia hizi line ni mateja, wezi wa simu, au wanunuzi wa simu za wizi. Yaani kama mimi nina namba yako kwenye phonebook then napoteza simu au naibiwa basi line yangu peke yake ni dili sababu contacts zangu zote zipo hivyo ikifika kwenye mkono wa teja yeye anaenda kuuza hiyo line kwa hawa matapeli hivyo wanatumia hiyo line kutuma hizo spam msg wakimaliza phonebook nzima hapo line inavunjwa.Nakaribisha maswali .
Huoni laini ya wizi kutumika kwenye simu nyingine ndio chanzo upelelezi wa wizi unapoanzia
 
Back
Top Bottom