chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 7,581
- 15,709
Kuna kitu kama sisi wanadamu mfano mtu akikusema jambo ambalo hujafanya basi huwezi kushikwa na jaziba wala kuita watu kusema yale siyo sahii ila utakaa mkimya.
Ila kila kukicha mitandao ya kijamii ikiwa na watumiaji wananchi wanaposema lolote tu! Cha kushangazwa baada ya saa au siku utaona viongozi wakubwa wakija kufafanua.
Mfano ili la treni tu ndiyo limenifungia jibu.