Mitandao ya kijamii as political platforms, anti-intellectualism na mustakabali wa Tanzania

Mzalendo_Mwandamizi

JF-Expert Member
Dec 12, 2007
1,117
4,764
Pamoja na kutopewa umuhimu mkubwa na serikali yetu (isipokuwa nyakati za uchaguzi), mitandao ya kijamii sasa ni sehemu muhimu ya maisha yetu ya kila siku.

Na kutoka nyenzo ya mawasiliano binafsi ya kijamii, mingi ya mitandao ya kijamii hivi sasa ni nyenzo muhimu za kisiasa. Wenzetu Marekani bado wanaugulia "uhuni wa Russia" ambapo mitandao mikubwa na muhimu zaidi ya kijamii ya Facebook na Twitter ilitumika ipasavyo kuhujumu uchaguzi mkuu wa nchi hiyo Novemba mwaka juzi.

Lakini pamoja na doa hilo, na pengine la ukweli mchungu kuwa mitandao ya kijamii imekuwa nyenzo muhimu ya uhalifu wa kisiasa - from magaidi wanavyowasiliana kwa kutumia apps kama Telegram to far-right groups zinavyotumia mitandao ya kijamii kama vile Gab - mitandao ya kijamii ikitumika ipasavyo yaweza kuwa nyenzo muhimu ya ushirikishwaji umma.

Kwa bahati mbaya au pengine makusudi, kwa Tanzania yetu, wanasiasa wengi both wa CCM na upinzani huona tu umuhimu wa mitandao ya kijamii nyakati za uchaguzi. Laiti nyenzo hizi muhimu za mawasiliano zikitumika ipasavyo zingesaidia sana kujenga mawasiliano kati ya wanasiasa wetu na sie wanaotuongoza.

Kwa tathmini ya haraka ya miaka yangu 14 kwenye mitandao ya kijamii (nilijiunga na Facebook mwaka 2004), "Facebook ya Tanzania" inaendelea kuwa mtandao wa kijamii muhimu zaidi katika uwasilishwaji ujumbe mbalimbali wa kisiasa, hususan kutokana na asili ya mtandao huo wa kijamii - mawasiliano baina ya ndugu, jamaa au marafiki, yaani watu wanaofahamiana.

Na kama kuna sehemu ambapo vyama vya upinzani Tanzania, hususan Chadema, vinaweza kunufaika vya kutosha ni Facebook. Yayumkinika kutanabaisha kuwa uongozi wa kisiasa za upinzani huko Facebook, kwa kuangalia political activities za wanaharakati wa upinzani kama Godlisten Malisa, ni more vibrant na pengine quite effective kulinganisha na uongozi halisi wa siasa za upinzani "huko mtaani."

Na kama kuna mapungufu makubwa kabisa kwa Upinzani, hususan Chadema, basi ni kutozipatia sapoti ya kutosha jitihada za vijana mbalimbali huko kwenye mitandao ya kijamii, hususan Facebook.

Dhana kuwa "kwani Watanzania wangapi wapo mtandaoni" ni fyongo kwa sababu licha ya access ya simu zenye Internet kuzidi kuwa kubwa, conversations mbalimbali za Watanzania including political zinafanyikia mitandaoni thru vitu kama Whatsapp groups, kumbi za mitandaoni kama Jamii Forums, bila kusahau "mitandao ya kijamii ya asili" yaani Facebook, et al.

Yayumkinika kuhitimisha kuwa "Twitter ya Tanzania" ni mtandao wa kijamii unaoshika nafasi ya pili nyuma ya Facebook kwa umuhimu wa shughuli za kisasa. Pengine moja ya sababu za msingi za hali hiyo ni "asili" ya mtandao huo wa kijamii, yaani "jukwaa la mtu kueleza mawazo yake."

Na kama wanavyosema wahenga kuwa "historia huandikwa wakati watu wanaangalia kwingineko," mwaka 2015 wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu (Tanzania), kulishuhudiwa ndoa ya kihistoria kati ya siasa na teknolojia, ambapo Twitter ilikuwa kama jimbo linalowaniwa na wagombea urais au/na vyama vyao.

Kwa mtazamo wangu, tatizo linaloisumbua
" Twitter ya Tanzania" ni elitism, ile hali ya usomi-usomi, na nitairejea baadae nitapogusia kuhusu anti-intellectualism in Tanzania. Kuna watu wengi wanaochelea kuitumia Twitter kwa kudhani ni kwa ajili ya watu flani tu. Kwamba labda mtandao huo wa kijamii ni kwa ajili ya tabaka la juu la la kati tu, na ni adui wa tabaka la walalahoi. Hiyo pengine inachangiwa na "Kiingereza kingi" ilhali lugha hiyo ni mgogoro mkubwa kwa Watanzania wengi.

Hata hivyo, ikitumika ipasavyo, Twitter inakaribiana kwa ufanisi na Facebook katika kufikisha political messages muhimu katika ushirikishwaji umma.

Mtandao unaotazamwa kama "janga la karne kwa Tanzania" ni "Instagram ya Tanzania." Mmoja wa maadui hatari kabisa kuwahi kutokea nchini Tanzania, UBUYU, ameweka makazi yake katika mtandao huo wa kijamii. Ni rahisi kudhani "Tanzania ni donor country" kama usipokuwa makini kufahamu kuwa one of Insta cardinal rules is "ubishoo." Kila mtu tajiri, kila mtu ana furaha and stuff like that. So many fake people living their fake lives on Insta yetu.

However, kuazima mfano wa kibiblia, "daktari hahitajiki kwa wenye afya bali walio wagonjwa." Mie binafsi ni mmoja wa wanufaika wa fursa mbalimbali zilizozagaa Instagram, ambapo nimekuwa nikiendesha madarasa kuhusu jinsi ya kuwa mtu bora (personal development) sambamba na elimu ya Usalama wa mtandaoni (cybersecurity).

Na licha ya kukabiliwa na changamoto kubwa kutoka kwa UBUYU, I'm getting there. Na ninaamini kuwa licha ya mtandao huo kutawaliwa zaidi na "kusaka umaarufu" kuna fursa nyingi na nzuri tu za kuwa nyenzo muhimu ya ushirikishwaji umma na/au various political activities.

Nimetanabaisha kuwa moja ya changamoto kuhusu Twitter ni "usomi-usomi." Kwa bahati mbaya, kuwa msomi katika contemporary Tanzania ni kitu hatari pengine zaidi ya kuwa mhalifu. Of course wasomi wametuangusha but so are parents, viongozi wa dini, wenza wetu, nk lakini haimaanishi kuwa kwa vile mzazi mmoja amei-let down familia yake basi wazazi wote ni maadui.

Kwa bahati mbaya mitandao ya kijamii inatoa fursa sawa kati ya wasomi na vilaza, na equal opportunity hiyo inatumiwa kikamilifu na vilaza katika "Vita" yao dhidi ya usomi/wasomi. Anti-intellectualism in Tanzania sio tu inanawiri kwa kasi lakini pia imekuwa moja ya sababu zinazochangia wasomi wetu kutoona haja ya kuji-engage na jamii kwa kuhofia kuraruliwa "kwa kujifanya wanajua kila kitu" (as if knowledge is now some sort of a sin katika taifa letu).

Mijadala muhimu inatawaliwa na jazba, ukada, udikteta (huo huo unaolaumiwa dhidi ya Magufuli) na kupuuzia ukweli kwamba "twaweza kulumbana bila kukabana."

Mijadala ni muhimu zaidi ya hii kasumba inayokera mno ya kulalamika kulalamika na kulalamika zaidi. Sawa, kulalamika ni haki ya kikatiba ya kila mmoja wetu lakini si uhuru kutoka kwa mkoloni wala ushindi dhidi ya nduli Idi Amin uliopatikana kwa kulalamika tu. Na ndio maana licha ya kuilalamikia Tanesco kwa takriban kila kukicha, tatizo la umeme wa kuaminika (diplomatic term for mgao wa umeme) limeendelea kushamiri kwa takriban miongo (decades) miwili unusu sasa.

Jamii Forums, moja ya majukwaa machache ambayo yamekuwa yakiwatumikia Watanzania bila kuchoka kuwapa fursa mbalimbali za kubadilishana mawazo, kuhabarishana na kujadiliana kistaarabu inaelekea kugeuka kuwa ukumbi wa malalamiko. Sio dhambi wala kosa lakini pengine ni vema kwenda mbali zaidi ya kulalamika tu. Lalamika, sawa lakini shauri pia.

Pengine kinachofanya malalamiko kuwa na nafasi kubwa zaidi ya ushauri ni kutanguliza emotions in front of common sense. Ukada, ushabiki, nk badala ya mantiki, reasoning, etc.

Mustakabali wa Tanzania upo mikononi mwetu. Tuna fursa ya kuu-shape thru vitu hivi vidogo lakini muhimu, kama majadiliano ya kistaarabu kuhusu hatma ya taifa letu.

I stand to be corrected!
 
Umetumia andishi lako kuelezea na kutukuza Twitter na facebook mbele ya jamii forums.
Hapo haupo sahihi unapotaka kuichambua nguvu ya mtandao Tanzania.

Jamii Forums iliangusha mawaziri.
Jamii Forums ilipasua vyama.
Jamii Forums iliibua ufisadi wa kutisha.
Jamii forums ina hazina ya mapendekezo kwa Serikali na wanasiasa.
JF ni halisi na inajumuisha sauti za backgrounds mbalimbali.
JF inaaminika na huwa inawatoa "nyoka" mapangoni.
 
Halaf we Evarist Chahali kwanini uliniblock Twitter mshikaji, ulifikiri nakudukua?
 
Mitandao ni platforms kama zilivyo nyingine zozote; ni busara kwa taasisi zote zinazojali ustawi wao kuwekeza katika platform hizo; kuchelewa kufanya hivyo ni uzembe wa kujitakia
 
Umetumia andishi lako kuelezea na kutukuza Twitter na facebook mbele ya jamii forums.
Hapo haupo sahihi unapotaka kuichambua nguvu ya mtandao Tanzania.

Jamii Forums iliangusha mawaziri.
Jamii Forums ilipasua vyama.
Jamii Forums iliibua ufisadi wa kutisha.
Jamii forums ina hazina ya mapendekezo kwa Serikali na wanasiasa.
JF ni halisi na inajumuisha sauti za backgrounds mbalimbali.
JF inaaminika na huwa inawatoa "nyoka" mapangoni.
Uko sahihi maana sasa hivi inaendeshwa kwa matakwa ya Lumumba na magogoni
 
Kuna vijana wanastahili pongezi sana kwa kazi zao mitandaoni kwa niaba ya Chadema hasa G. Malisa. Hawa ndio wanaotoa uhai wa chama kuliko hata viongozi wenyewe.

Huku JF Salaryslip ndio kinara akiwa na sura (IDs) tofauti lakini amesaidia sana kuipa uhai Chadema huku JF pamoja na kupitia mawimbi mazito.

Chadema wekeni nguvu kubwa kwa vijana kama hawa ikiwezekana muwawezeshe zaidi akili zao zifocus kwenye uenezi na propaganda tu.
 
Pamoja na kutopewa umuhimu mkubwa na serikali yetu (isipokuwa nyakati za uchaguzi), mitandao ya kijamii sasa ni sehemu muhimu ya maisha yetu ya kila siku.

Na kutoka nyenzo ya mawasiliano binafsi ya kijamii, mingi ya mitandao ya kijamii hivi sasa ni nyenzo muhimu za kisiasa. Wenzetu Marekani bado wanaugulia "uhuni wa Russia" ambapo mitandao mikubwa na muhimu zaidi ya kijamii ya Facebook na Twitter ilitumika ipasavyo kuhujumu uchaguzi mkuu wa nchi hiyo Novemba mwaka juzi.

Lakini pamoja na doa hilo, na pengine la ukweli mchungu kuwa mitandao ya kijamii imekuwa nyenzo muhimu ya uhalifu wa kisiasa - from magaidi wanavyowasiliana kwa kutumia apps kama Telegram to far-right groups zinavyotumia mitandao ya kijamii kama vile Gab - mitandao ya kijamii ikitumika ipasavyo yaweza kuwa nyenzo muhimu ya ushirikishwaji umma.

Kwa bahati mbaya au pengine makusudi, kwa Tanzania yetu, wanasiasa wengi both wa CCM na upinzani huona tu umuhimu wa mitandao ya kijamii nyakati za uchaguzi. Laiti nyenzo hizi muhimu za mawasiliano zikitumika ipasavyo zingesaidia sana kujenga mawasiliano kati ya wanasiasa wetu na sie wanaotuongoza.

Kwa tathmini ya haraka ya miaka yangu 14 kwenye mitandao ya kijamii (nilijiunga na Facebook mwaka 2004), "Facebook ya Tanzania" inaendelea kuwa mtandao wa kijamii muhimu zaidi katika uwasilishwaji ujumbe mbalimbali wa kisiasa, hususan kutokana na asili ya mtandao huo wa kijamii - mawasiliano baina ya ndugu, jamaa au marafiki, yaani watu wanaofahamiana.

Na kama kuna sehemu ambapo vyama vya upinzani Tanzania, hususan Chadema, vinaweza kunufaika vya kutosha ni Facebook. Yayumkinika kutanabaisha kuwa uongozi wa kisiasa za upinzani huko Facebook, kwa kuangalia political activities za wanaharakati wa upinzani kama Godlisten Malisa, ni more vibrant na pengine quite effective kulinganisha na uongozi halisi wa siasa za upinzani "huko mtaani."

Na kama kuna mapungufu makubwa kabisa kwa Upinzani, hususan Chadema, basi ni kutozipatia sapoti ya kutosha jitihada za vijana mbalimbali huko kwenye mitandao ya kijamii, hususan Facebook.

Dhana kuwa "kwani Watanzania wangapi wapo mtandaoni" ni fyongo kwa sababu licha ya access ya simu zenye Internet kuzidi kuwa kubwa, conversations mbalimbali za Watanzania including political zinafanyikia mitandaoni thru vitu kama Whatsapp groups, kumbi za mitandaoni kama Jamii Forums, bila kusahau "mitandao ya kijamii ya asili" yaani Facebook, et al.

Yayumkinika kuhitimisha kuwa "Twitter ya Tanzania" ni mtandao wa kijamii unaoshika nafasi ya pili nyuma ya Facebook kwa umuhimu wa shughuli za kisasa. Pengine moja ya sababu za msingi za hali hiyo ni "asili" ya mtandao huo wa kijamii, yaani "jukwaa la mtu kueleza mawazo yake."

Na kama wanavyosema wahenga kuwa "historia huandikwa wakati watu wanaangalia kwingineko," mwaka 2015 wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu (Tanzania), kulishuhudiwa ndoa ya kihistoria kati ya siasa na teknolojia, ambapo Twitter ilikuwa kama jimbo linalowaniwa na wagombea urais au/na vyama vyao.

Kwa mtazamo wangu, tatizo linaloisumbua
" Twitter ya Tanzania" ni elitism, ile hali ya usomi-usomi, na nitairejea baadae nitapogusia kuhusu anti-intellectualism in Tanzania. Kuna watu wengi wanaochelea kuitumia Twitter kwa kudhani ni kwa ajili ya watu flani tu. Kwamba labda mtandao huo wa kijamii ni kwa ajili ya tabaka la juu la la kati tu, na ni adui wa tabaka la walalahoi. Hiyo pengine inachangiwa na "Kiingereza kingi" ilhali lugha hiyo ni mgogoro mkubwa kwa Watanzania wengi.

Hata hivyo, ikitumika ipasavyo, Twitter inakaribiana kwa ufanisi na Facebook katika kufikisha political messages muhimu katika ushirikishwaji umma.

Mtandao unaotazamwa kama "janga la karne kwa Tanzania" ni "Instagram ya Tanzania." Mmoja wa maadui hatari kabisa kuwahi kutokea nchini Tanzania, UBUYU, ameweka makazi yake katika mtandao huo wa kijamii. Ni rahisi kudhani "Tanzania ni donor country" kama usipokuwa makini kufahamu kuwa one of Insta cardinal rules is "ubishoo." Kila mtu tajiri, kila mtu ana furaha and stuff like that. So many fake people living their fake lives on Insta yetu.

However, kuazima mfano wa kibiblia, "daktari hahitajiki kwa wenye afya bali walio wagonjwa." Mie binafsi ni mmoja wa wanufaika wa fursa mbalimbali zilizozagaa Instagram, ambapo nimekuwa nikiendesha madarasa kuhusu jinsi ya kuwa mtu bora (personal development) sambamba na elimu ya Usalama wa mtandaoni (cybersecurity).

Na licha ya kukabiliwa na changamoto kubwa kutoka kwa UBUYU, I'm getting there. Na ninaamini kuwa licha ya mtandao huo kutawaliwa zaidi na "kusaka umaarufu" kuna fursa nyingi na nzuri tu za kuwa nyenzo muhimu ya ushirikishwaji umma na/au various political activities.

Nimetanabaisha kuwa moja ya changamoto kuhusu Twitter ni "usomi-usomi." Kwa bahati mbaya, kuwa msomi katika contemporary Tanzania ni kitu hatari pengine zaidi ya kuwa mhalifu. Of course wasomi wametuangusha but so are parents, viongozi wa dini, wenza wetu, nk lakini haimaanishi kuwa kwa vile mzazi mmoja amei-let down familia yake basi wazazi wote ni maadui.

Kwa bahati mbaya mitandao ya kijamii inatoa fursa sawa kati ya wasomi na vilaza, na equal opportunity hiyo inatumiwa kikamilifu na vilaza katika "Vita" yao dhidi ya usomi/wasomi. Anti-intellectualism in Tanzania sio tu inanawiri kwa kasi lakini pia imekuwa moja ya sababu zinazochangia wasomi wetu kutoona haja ya kuji-engage na jamii kwa kuhofia kuraruliwa "kwa kujifanya wanajua kila kitu" (as if knowledge is now some sort of a sin katika taifa letu).

Mijadala muhimu inatawaliwa na jazba, ukada, udikteta (huo huo unaolaumiwa dhidi ya Magufuli) na kupuuzia ukweli kwamba "twaweza kulumbana bila kukabana."

Mijadala ni muhimu zaidi ya hii kasumba inayokera mno ya kulalamika kulalamika na kulalamika zaidi. Sawa, kulalamika ni haki ya kikatiba ya kila mmoja wetu lakini si uhuru kutoka kwa mkoloni wala ushindi dhidi ya nduli Idi Amin uliopatikana kwa kulalamika tu. Na ndio maana licha ya kuilalamikia Tanesco kwa takriban kila kukicha, tatizo la umeme wa kuaminika (diplomatic term for mgao wa umeme) limeendelea kushamiri kwa takriban miongo (decades) miwili unusu sasa.

Jamii Forums, moja ya majukwaa machache ambayo yamekuwa yakiwatumikia Watanzania bila kuchoka kuwapa fursa mbalimbali za kubadilishana mawazo, kuhabarishana na kujadiliana kistaarabu inaelekea kugeuka kuwa ukumbi wa malalamiko. Sio dhambi wala kosa lakini pengine ni vema kwenda mbali zaidi ya kulalamika tu. Lalamika, sawa lakini shauri pia.

Pengine kinachofanya malalamiko kuwa na nafasi kubwa zaidi ya ushauri ni kutanguliza emotions in front of common sense. Ukada, ushabiki, nk badala ya mantiki, reasoning, etc.

Mustakabali wa Tanzania upo mikononi mwetu. Tuna fursa ya kuu-shape thru vitu hivi vidogo lakini muhimu, kama majadiliano ya kistaarabu kuhusu hatma ya taifa letu.

I stand to be corrected!
Yes... "mitandao ya kijamii 'ikitumiwa vizuri'." N matumizi yapi mazuri? Hii mitandao haitaki any sort of regulations, editing ...hawataki. Ukiwagusa, mbio hadi kwa "mashoga" zao.

Mitandao ya kijamii n janga la dunia... Kupitia mitandao: (1) Urusi iliwachagulia Marekani Rais; (2) ugaidi unapaliliwa; (3) ushoga unalelewa; (4) Brexit ya UK ilitengenezwa na Urusi...

There's no serious discussion... Mtu anafika, atupia kitu au upupu, then anapotea...anawaacha mnahangaika na upupu, haonekani hadi siku atakayokuwa na upupu tena ___ populism.

"Nchi changa" kama Tz, zinapelekwa kaburini na hii social media!
 
bro umeme siku hizi ni wewe tuu kulipia luku sio kama kipindi ulivyoondoka enzi hizo mpangaji akiwa na pasi ya umeme, fridge, jiko la umeme ni ugomvi. siku hizi makelele ya majenereta mtaani hakuna ni mara moja moja sana kuyasikia so we good at some point mengi yamebadilika
 
Brother umeeleweka vizuri mimi kitaluma ni fundi ni kosa kuamini kila ninaedili nae anajua kama mimi
Nimekuwa napokea maarifa mengi kwako hasa fb ila kosa unalofanya ni kutulaumu kwamba tumekuwa waoga comment nk, nikaona wewe ulitakiwa utujenge kisaikolojia pia kutushari tutumie njia ipi salama kuonyesha hisia zetu siyo kutaka tuwe kama wewe katika linchi kama hili limekuwa hatari sana kwa kila mtu unaweza kufanywa chochote wakati wowote kwanza wewe uko mbali jambo la pili unautalam wa kwenye mitandao na wa kimazira kuwakwepa hawa jamaa
Ila lamsingi angalia jinzi ya kutusaidia elimu hasa kutumia mitandao kwa salama
 
Hilo nalo neno, ila "Pengine kinachofanya malalamiko kuwa na nafasi kubwa zaidi ya ushauri ni kutanguliza emotions in front of common sense. Ukada, ushabiki, nk badala ya mantiki, reasoning, etc."

Back
Top Bottom