Mitandao ya Airtel, Zantel na Halotel toeni tamko kuhusu miamara kukwama

FURY BORN

JF-Expert Member
Jul 11, 2020
638
1,145
Mitandao ya simu toeni tamko kuhusu miamala kukwama, nimeshuhudia kupitia mitandao mitatu Airtel, Halotel na Zantel. Tuambieni nini kinaendelea mbona Makato yenu hayakwami? TCRA watanzania tunaporwa kupitia mitandao ya simu mko kimya Tu
 
Back
Top Bottom