Not_Yet_Uhuru
JF-Expert Member
- Oct 11, 2010
- 1,304
- 431
Kitendo cha baadhi ya makampuni ya simu kupigwa majina kila baada ya muda fulani kibiashara, yaani kubadilishwa majina au umiliki mfano, celtel kuwa zain, mara airtel, au mabitel halafu buzz, tena tigO! Je huu ni ufanisi kibiashara, au utata kimwelekeo au ni kunusuru biashara isife?