Mitandao minine! kama boli uwanjani, sasa yapigwa tena kross, jina jipya ni Airtel?

Not_Yet_Uhuru

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,304
431
Kitendo cha baadhi ya makampuni ya simu kupigwa majina kila baada ya muda fulani kibiashara, yaani kubadilishwa majina au umiliki mfano, celtel kuwa zain, mara airtel, au mabitel halafu buzz, tena tigO! Je huu ni ufanisi kibiashara, au utata kimwelekeo au ni kunusuru biashara isife?
 
sanaaa tu hizo kaka ..na kwa kuwa TZ viongozi ni vihwa maji basi burudani tu mwisho wataita chakubanga mobile
 
kubadilisha majina inaashiria kukwepa ulipaji kodi ipasavyo TRA watashindwa kwa kuwa leo jina hili kesho hili, pia inawezekana ni mradi hisa za wakubwa zimo hii ni balaa tupu, hakuna utaratibu maalum.
 
Mkuu, tax holiday inakuwaje hapo? 5 years tax free, then unauza kampuni, anayenunua anakula 5 yrs tax free, mchezo unaendelea hivyo hivyo.

Huoni mahotel yetu? - Sheraton, Holiday in n.k. Hili linchi ni sawa na pango la vicheche.
 
Kwi kwii kwiiii!!!!!!!!!!!!!
Ndio nguchiro!
 
Back
Top Bottom