My dad huu unaenda mwezi wa pili au wa 3ana pochi ya mtu ina pesa sijui za nchi gani hukoo anakuambia situmii mpk nimpate mwenyewe aliokota maeneo ya Regency nimemuambia anipe nitangazekachomoa!!!kwenye uislam ukiokota kitu unatakiwa umtafute mwenyewe au utangaze.
Kwa hyo zote hizo ukishindwa kumuona hyo Mali NI yako.
Sasa Mimi nisingetangaza Wala kumtafuta.
Haujaweka nukta mwisho.Ina maana utaendelea kuandika au nisubiri tamthiliya ya "ze plomisi" inakuja muheshimiwa?😝Vizuri sana
Utangaze au ukimbie nayo?😝😝😝My dad huu unaenda mwezi wa pili au wa 3ana pochi ya mtu ina pesa sijui za nchi gani hukoo anakuambia situmii mpk nimpate mwenyewe aliokota maeneo ya Regency nimemuambia anipe nitangazekachomoa!!!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Ntatangaza sema dingi nae miyeyushoUtangaze au ukimbie nayo?
Aaaa wapiiii!Umekwama.Anajua akikupa tu,utapotea.Wazazi hawataki kuwa na wana wapotevu.😂😂😂
Mimi sina demu, kwahiyo haya mambo ya handbags wala siyafahamu...Leo hii wakati nimeamka kufanya mazoezi asubuhi, nilikikuta kipochi cha mkononi (hand bag) kwenye njia ambayo huwa nafanya jogging, Nilichunguza mazingira vizuri na nikakifungua, nilikuta noti 132 za elf 10 pamoja na noti nyingine chache, flash, na kitambulisho.
Ebu mshawishi uenda tukampa mwenyeweMy dad huu unaenda mwezi wa pili au wa 3ana pochi ya mtu ina pesa sijui za nchi gani hukoo anakuambia situmii mpk nimpate mwenyewe aliokota maeneo ya Regency nimemuambia anipe nitangazekachomoa!!!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Alikuwa ana tabia za umasikini kama jamaa wa Kongwa...ooh noo..Kongowe!😝😝😝😝Niliwahi poteza simu...
Aliyeokota...akaniambia nimpe 60000..
Ili anirudishie... Nilipo kataa kaondoka nayo....
Ila haya mambo nahisi yanaendeshwa pasi na weledi, hivi kweli mtu aue then akae na simu mumpigie apokee awaelekeze hadi alipo mkamdake!! It doesnt make sense, sema tu wenye mamlaka huwa hawataki kujiongeza kufanya upelelezi na ukute hata huo weledi wa kufanya upelelezi hawana.Kuna shemeji yangu aliokota simu 2013 amekaa nayo asubiri atakayepiga smu ampe maelekezo jinsi ya kuipata!! Ilikua asubuhi kufika saa kumi jioni ikapigwa simu akatoa maelekezo waende ofisini kwake smu aliokota asubuhi wkt anaenda kazini!!mwaka 2017.
Akahukumiwa kunyongwa Hadi kufa Hadi Leo Yuko gerezani !!bahati nzuri ameitwa kwenye kikao Cha rufaa ya hukumu yake tareh 23 mwezi huu anasikiliza rufaa yako ,naamini Mungu atawaongoza majaji wampe haki yake.
Ile smu kumbe ilikua ya mjeshi kapigwa Hadi kafa na vibaka wkt wanakimbia ndio wakaidondosha na yeye akapita hapo akaiona na kuiokota
Ukipeleka polisi hawatokudaka?Apeleke polisi au atafute njia avirudishe kisiri bila kuacha alama,niamini ndugu kuna watu wanasota magerezani kwa kutenda wema
Kuna huyu aliyerudisha $50,000 na tena dereva wa boda bodaKwa hyo milioni 1 na laki 3 ukazirudisha kwa mwenyewe.
Mimi NI muislam lakini hapo kwenye hela pangekuwa mtihani.
Hawakudaki,sheria inataka hivyoUkipeleka polisi hawatokudaka?
Nyie rudisheni tu.ila kwa Mimi ningekausha. Msema kweli mpenz wa munguKuna huyu aliyerudisha $50,000 na tena dereva wa boda boda
-----
Liberian teen who returned $50,000
Link: Liberian teen who returned $50,000 named 'integrity ambassador' | Africanews
AngekuWa ameuwawa asingetuma picha inayoonyesha ameshika kikombe,hebu soma vizuri hiyo nada.Kuna siku utapewa kesi ya mauaji au ubakaji ndio utajua hujui,huyo mtu angekuwa kauawa sasa hivi ungekuwa segerea,usirudie ujinga huo
Toka nijue kiinua mgongo c akiba, wema nao nautoa kwa nadra sana.Wema ni akiba