Hili wataalam mnalionaje!!
Ikiwa simu yenye laini zaidi ya moja inatambulika kwa na IMEI number tofauti tofauti.
Inakuwaje mmiliki wa simu akiwa anaongea na simu yake kwa namba moja ile nyingine inakuwa haipatikani?
Kibaya zaidi wakati mwingine tatizo hilo huenda mbali zaidi kwa wengine namba zao za pili hujibiwa na ile autometed computer kuwa HAZIPO, HAZIPATIKANI .
Kuna baadhi ya coincidence mtu huyo huyo anaepigiwa simu kwenye namba yake ya pili, asipokee yeye badala yake simu inakwenda kwa mwingine tofauti na mlengwa!
Mfano; Lengo ni kumpigia mtu A kwenye namba yake ya pili zilizo kwenye simu yake moja, inakuwaje simu hiyo ujibiwe haipatikan/haipo au inapokelewa na mtu B, wakati mtu A akiwa anaongea na simu kwenye laini ya kwanza?
Wataalamu hebu naombeni ufafanuzi juu ya hili maana nafahamu kuna tofauti kubwa sana kimaana kati ya kuwa "Busy on another Call" na kuwa "Not available"
Ndoa zinavunjika, watu wanafukuzwa kazi n.k kwa matatizo kama hayo
Nakumbuka kuna Mkurugenzi mmoja alipigiwa simu ikawa haipatikani akatumbuliwa juu kwa juu kwa kosa la kuzima simu; Yamkini huenda alikuwa anaongea na simu nyingine!
Je; wasimamizi wa mawasiliano bongo hilo mnalitatuaje kuepusha kuwagombanisha watu?