Mitambo yashindwa kuondoa mti wa asili Hifadhi ya Taifa ya Nyerere

Ukiona mtu haamini haya mambo bado mtoto mdogo. Kariakoo maeneo ya kamata, shirika la reli liliamishia kituo cha train kwamuda, eneo lile palikuwa na makaburi sasachaajabu makaburi yote wameyafukua lakn lipo moja lilishindikana had leo lipo anaebisha aende akaangalie. Hilo ni kaburi la chifu Kibasila.
Aisee
 
Hivi mnaobisha kila kitu, mshawauliza Tanesco pale Iringa ilikuwaje wakahamishia nguzo upande wa pili wa barabara kisha mbele zikarudi upande wake? Msibishe tu kila kitu hakuna hakuna, tembeeni ongeeni na watu mpate maarifa ya ziada
Sehemu gani?
Nipo ir nikajionee
 
Mila zenyewe ndio hizo unataka kukata mti ufanye maendeleo mti hautaki, lini utaondoka haijulikani, sasa ni mila gani hizo??? aacha mzungu aitwe mzungu.
Umeona eeh
Eti ooh tunadharau mila zetu,mila za kipumbavu kabisa,za kutaka umasikini tu maendeleo hakuna eti mpk uongee na wazee uchawi na ushirikina mtupu
 
Pwani kuna mijamaa kazi yao ni kukata mibuyuuu na wanaumalizaa kabsaaa ..... siri zao hazisemwagi hadharani

anyway labda mti utasogea wenyewe pembeni ukinenewa kwa lugha
Mbuyu unakatwa kirahisi sana kwa kutiliwa sumu tu unakufa kisha shuhuli nyingine ya kuudondosha inaendelea
 
Back
Top Bottom