Mitambo ya Radio | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mitambo ya Radio

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kitia, Apr 5, 2008.

 1. Kitia

  Kitia JF-Expert Member

  #1
  Apr 5, 2008
  Joined: Dec 2, 2006
  Messages: 410
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Napenda kuwauliza Wakuu, yeyote aliye na habari ni wapi naweza kupata mitambo ya Radio ya FM. Ni vitu gani amabavyo vinajumuisha ili mtambo ukamilike na kuweza kurusha matangazo kwa eneo kama la mkoa wa Kilimanjaro, kwa mfano?

  Natanguliza shukrani.
   
 2. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #2
  Apr 5, 2008
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Kama hutojali, taja bajeti yako kwanza au basi eleza kama ni mkoa wa Kilimanjaro mzima unataka kuu-cover, pia napenda kuuliza kama ulishapata licence kutoka tcra ya kubroadcast FM katika mkoa wote au sehemu ya mkoa.... (samahani kwa kuanza na maswali haya)

  SteveD.
   
 3. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #3
  Apr 5, 2008
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Kitia, nimecheck check nakuona links kadhaa, naomba uzitazame kama zinaweza kukusaidia.

  Nikitumaini kuwa siyo pirate radio station inayoanzishwa; yafuatayo ni mambo basic nijuayo yanahitajika ili kurusha matangazo katika FM:

  --licence ya biashara (kama unapata income kwa ads)
  --licence ya bandwidth (kutoka tcra ili wakupe spectrum/frequency)
  --microphone nzuri (at least mbili kuanzia)
  --sound mixing console (mixer)
  --transmitter antenna na amplifier yake
  --sound system (computer or standalone systems - to source sound)
  --phone-in line system (preferable)
  --
  --
  --mengineyo kuongeza ufanisi ..... na...
  --(wasikilizaji walengwa !! :) )


  links: --http://www.broadcastwarehouse.com/fm-transmission/6/cat (wako aghali kidogo hawa)

  --http://www.aareff.com/24werpfmtransmittersystem.htm (hawa wako nafuu kidogo)

  --http://members.tripod.com/~transmitters/links.htm (hawa wanatoa karibu links zote za wasambazaji wa transmitters)

  Baadae, goodluck.

  SteveD.
   
 4. Kitia

  Kitia JF-Expert Member

  #4
  Apr 5, 2008
  Joined: Dec 2, 2006
  Messages: 410
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Asante sana SteveD. Sina bajeti ila itakuwa ni low cost, eg mradi wa jamii etc etc. Sijapata licence kutoka kokote, ndio na beep hivyo, nipo katika stage ya kufikiria kuanzisha tu.
   
 5. Kitia

  Kitia JF-Expert Member

  #5
  Apr 5, 2008
  Joined: Dec 2, 2006
  Messages: 410
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Asante sana. Nipo katika stage ya kuwazia mradi huu, sina bajeti bado na nilikuwa sijui ni vifaa gani vya kutafuta na wapi pa kuombea kibali. Mashukuru sana.
   
 6. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #6
  Sep 30, 2009
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Salaam wakuu. nna mpango wa kufungua kituo kidogo cha redio (regional) cha FM chenye uwezo wa kurusha matangazo ndani ya mkoa mmoja.

  Sina uzoefu wowote na mambo ya transmission ila nna kamtaji kidogo nadhani katasaidia wananchi wa mkoa mmojawapo ulio chini kabisa hapa bongo. Naomba ufafanuzi wa ndani kuhusu mahitaji ya mitambo inayohitajika, makadirio ya bei na sehemu inakopatikana kwa urahisi.

  Nahitaji mitambo rilayabo isiyosumbua, nataka nijaribu kuona toto kosti mpaka kituo kuanza kazi itagharim bei gani.

  Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa msaada wowote utakaotolewa.
   
 7. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #7
  Sep 30, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Dah mkuu ungelocate kwanza mkoa unao taka kufungua then wadau watakusaidia kutokana na mkoa husika maana kwa Dar utaambiwa FM imejaa nenda Lindi au Kagera.
   
 8. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #8
  Sep 30, 2009
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Wewe una-shilling ngapi?.
   
 9. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #9
  Sep 30, 2009
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,453
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Mtaalam, huwa FM zinajaa?? Mbona naona Dsm radio za FM zinaongezeka kila siku??? Kama kuna mtaalamu wa mambo ya transimision, hebu tutoe kwenye giza!!
   
 10. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #10
  Sep 30, 2009
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0

  asante mkubwa, shida yangu si kufungua Dar, ni mkoani kabisa, kuna watu wameniomba mkoani kwao kuna radio moja tu tena ya kidini! hakuna RFA, hakuna CLOUDS hakuna RADIO ONE hakuna TIMES, hakuna KISS hakuna EARadio, hata TBC inakamata milimani tu! SHIDA YANGU NI GHARAMA HALISI ZA HARDWARE (MITAMBO). KITUO KIDOGO TU, CHA KWAIDA SANA CHENYE UWEZO WA KURUSHA NDANI YA MKOA.
   
 11. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #11
  Sep 30, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  pls njoo na mkoani kwetu, halafu uwenyekiti wa kijiji unakuhusu..teh teh
   
 12. Ramthods

  Ramthods JF-Expert Member

  #12
  Sep 30, 2009
  Joined: Jun 2, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Mind you, biashara ya Radio inaweza kuwa ngumu kwako - kama ni kweli unamaanisha una mtaji mdogo. Au niulize, huo mtaji mdogo unamaanisha ni kiasi gani?

  Naelewa mtaji mdogo kwako unaweza kuwa mkubwa kwa wengi wetu - and the opposite is also true.
   
 13. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #13
  Sep 30, 2009
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Amoeba usiwe na wasi2 nitakupa msaada wote maana mimi nina mradi kama huo.Nafurahi sana watanzania wanapochangamka.Hebu ni PM nikupe all details.
   
 14. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #14
  Sep 30, 2009
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Gwakisa,

  Mwaga hizo details hapa..haiana haja ya kwenda kwenye PM
   
Loading...