Mitambo ya Dowans imenunuliwa lini na Tanesco? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mitambo ya Dowans imenunuliwa lini na Tanesco?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Magezi, Jul 19, 2009.

 1. M

  Magezi JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Ndugu wanaJF juzi niliingia ndani ya compaund ya Tanesco pale ubungo nilikuwa na shidaya kumuona jamaa mmoja kwa masuala fulani lakini nilishangaa kukuta mitambo ya Dowans inafanya kazi nilimuuliza vipi mbona haya majenereta yanafanya kazi akasema "ah.... we acha tu...".

  Ndugu zangu mwenye details za mauziano anisaidie kunielewesha kidogo kulikoni?
   
 2. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Kutokana na sheria za manunuzi za huko Tanzania, haziruhusu Serikali kununua vitu vilivyokwisha tumika (mitumba).

  sasa sijui kama wamevunja hilo.
   
 3. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2009
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Kama hizi habari ni za kweli haishangazi -- kwani utawala wa CCM si unajulikana dunia nzima kwa kufanya maamuzi kinyume cha sheria kitu ambacho tafsiri yake ni uharamia na kutozingatia utawala bora?
   
 4. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2009
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Labda RA alimwambia JK nunua -- la sivyo nita-spill the beans kwa kutoa data kuhusu Kagoda kwamba tulikuwa pamoja katika dili nzima. Jamaa akanywea, akanunua. Katika hili ni rahisi mno ku-armtwist.
   
 5. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2009
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Ingekuwa ni vyema ungekuja na ushahidi hapa kuliko sisi tuamini kile unachosema. Weka ushahidi kwanza ndipo watu waanze kudondosha facts.
   
 6. Amosam

  Amosam Senior Member

  #6
  Jul 20, 2009
  Joined: Jan 15, 2009
  Messages: 154
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mwandishi ni mchochezi tuu na hasa ni mchekeshaji!
   
 7. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #7
  Jul 20, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Mambo ya hapa jamvini hasa haya makubwa kiasi hiki tunahitaji data. Hebu weka scanned document ya mkataba wa mauziano au hata meeting minutes ambayo ilibariki tendo hilo itasaidia mkuu.
   
 8. N

  Nyauba JF-Expert Member

  #8
  Jul 20, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 1,098
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  sheria haikatazi kununua second hand equipment ambazo ni muhimu kwa taifa...

  kwanza serikali ni nani na dowans ni nani...uhusiano wao unaruhusu kufanya deal yeyotee...

  nashangaa tunailalamikia mitamboo wakati tuliahidiwaa mapema kwamba lazima itatupunguzia lile tatizo la umeme lililotokana na ukame..
   
 9. K

  Kyachakiche JF-Expert Member

  #9
  Jul 20, 2009
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 911
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Inaweza pia kuwa ni Generator ya kawaida tu ilikuwa imewashwa na wala si mitambo ya Dowans!
   
 10. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #10
  Jul 20, 2009
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Chunguzeni mlete data kamili.
   
 11. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #11
  Jul 20, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Watu wengine Matomaso aweke ushahidi gani wkt kaona jenereta zinaunguruma au aende arekodi muungurumo huo wa majenereta aulete hapa ndo muamini?
   
 12. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #12
  Jul 20, 2009
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  Tangia mwanzo serikali ilionesha nia ya kununua mitambo hiyo kelele zilipopigwa sana wakaogopa dowans ni moto mbaya na ni mitambo ya wakubwa fulani so kuna uwezekano serikali imepita mlango wa nyuma na kununua mitambo hiyo ili kuwaridhisha wafadhili ra na el
   
 13. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #13
  Jul 20, 2009
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Haya mambo serikali ya Kikwete haitaki yajadiliwe. Ndio maana siku za karibuni wapambe wa Kikwete na vyombo vya habari vimekuwa vinajadili sana masuala ya migongano ya kidini ili kuhamisha focus.

  Kikwete anaipeleka Tanzania kubaya sana.
   
 14. m

  mrugaruga Member

  #14
  Jul 20, 2009
  Joined: Jul 10, 2009
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  bado generator zipo, walichofanya na wanachotaka kufanya, serikali ya tanesco/nishati wametoa tender ya kununua 100 mw kwa $120mllion badala ya $50million bei halisi mpaka kufungwa na kuwashwa kwenye site.
  Kuna kampuni moja ambayo ni mjomba wa richmond na dowan inaitwa noor oil, imepeleka tender hapo tanesco, hii kampuni siyo watengenezaji wa hii mitambo, wanachotaka kufanya, ni kununua hiyo 100mw toka kwa watengenezaji kwa $50-60million na kuuzia serikali $120million, $60million zitaingia kwenye kufidia hiyo ya dowani na kiasi kingine kinaenda kw akina idrisa/waziri/ na wanasiasa wengine ambao watajitoa mhanga kutetea huo wizi

  kikwete ana kazi nzito sana.
   
 15. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #15
  Jul 21, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kwa malezo yako haya inaonyesha kuwa ulikwenda pale Tanesco makao makuu. Kama ni hivyo utakuwa umeona kitu kingine. Mitambo ya Doawans haipo pale kaibu na jengo la makao makuu, iliyopo pale karibu, ambayo inafanya kazi ni mali ya Tanesco yenyewe na ilizinduliwa miezi kadhaa iliyopita na JK
   
 16. Kipunguni

  Kipunguni Senior Member

  #16
  Jul 21, 2009
  Joined: Jun 20, 2008
  Messages: 151
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sasa mkuu, hiyo mitambo ya Dowans iko wapi?
   
 17. M

  Makfuhi Senior Member

  #17
  Jul 21, 2009
  Joined: Aug 20, 2008
  Messages: 183
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  .....lakini nilishangaa kukuta mitambo ya Dowans inafanya kazi nilimuuliza vipi mbona haya majenereta yanafanya kazi akasema "ah.... we acha tu...".

  Kapate taarifa zaidi kwa yule uliyemtembelea ambaye naye inaonekana amekata tamaa utuhabarishe zaidi.
   
 18. B

  Baba Lao Member

  #18
  Jul 21, 2009
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 40
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15


  MKUU KAMA HILI NI KWELI LA HIYO KAMPUNI YA noor oil UFISADI MWINGINE ,TUTAPAMBANA NA TANESCO KABLA SAMAKI HAJAWA MKAVU.WAKUU TUKAE TAYARI.
   
 19. B

  Baba Lao Member

  #19
  Jul 21, 2009
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 40
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  kAAAAAZI KWELIKWELI.je hii ndo website yao?au ni wengine

  Refinery & Pipelines - Home
   
 20. F

  FM JF-Expert Member

  #20
  Jul 21, 2009
  Joined: Jul 2, 2009
  Messages: 202
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Lakini kwa nini yule mtaalam alipoulizwa "mbona haya majenereta yanafanya kazi?" akajibu ..."aah..we acha tu.." kuna dalili za ukweli katika hili muhimu ni kufuatilia.
   
Loading...