Mitambo Mipya Yakuzalisha Umeme

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Wanajanvi wenzangu naomba kuuliza swali! Hivi tokea utawala wa raisi wa kwanza baba wa taifa Julius Nyerere halafu akafuatia mzee Ali Hassani Mwinyi awamu ya pili na baada ya hapo awamu ya tatu akaja Benjamin Mkapa, mbona sijasikia walishaagiza mitambo mipya ya kufua umeme? Mitambo ninayoijua ni ileile ya zamani iweje kwenye utawala huu wa JK tuaagiza mitambo mipya ya kufua umeme? Nawasilisha na naomba mnisaidie kujua.
 
Nchi ianongozwa na wezi thats Y kila kukicha ni kuagiza vijimitambo vya MW 100
 
Ndallo kwani hukusikia walipojinadi kuwa huu ni wakati wao wa kula mpaka tuliwe kwa hiyo wanatimiza dhamira yao. Ni kuagiza mitambo, ikifika hapa inawaka wiki moja inagundulika kuwa ni mitambo chakavu, mchakato unaanza tena kuagiza ya megawati nyingi kidogo ya zile walizotutapeli awali. Wadanganyika, kaeni chonjo kila mtu atalia kwa kilio na mlio wa kipekee maana nchi iendako siko kabisa
 
Back
Top Bottom