Mitaala ya somo la Historia iliyositishwa ilijaa propaganda za kumsifu Magufuli kuwa ni kinara wa mabadiliko nchini

Status
Not open for further replies.
Shída ni mifumo isiyo imara inayoendekezwa na udhaifu unaotoa mwanya kwa mazingira ya iliyopo .
Katiba zinajengwa na kulindwa na watu.

Usitegemee katiba ndio itaandamana badala yako pale haki zako zitakapokiukwa.

Kama watu hawajawa tayari kwa hilo hakuna namna ya kulifanya.

Siku watu wakihitaji katiba mpya, itapatikana ndani ya muda mfupi tu. Sasa hivi wananchi wa kawaida bado wanaona katiba mpya hakuna namna itawasaidia kuwaletea tonge mezani.
 
Iko hivi mifumu imara isiyoweza kuingiliwa kisiasa hujenga watu imara,vyinginevyo,mifumo dhaifu hutengeneza watu dhaifu na mwisho wa siku vyote dhaifu.
 
Yule Bwana alijua kuwekeza kwenye Propaganda, ilifikia hatua baadhi kumfananisha na MUNGU muweza.

Yaani mtu mwenye damu na nyama kama Mimi na wewe kufikia Ukuu wa MUNGU, Astaghfirullah!
 
alafu kuna mijitu ilikuwa inataka aongezewe miaka mingine tena eti kuwa ni mzalendo wa kweli
 
Iko hivi mifumu imara isiyoweza kuingiliwa kisiasa hujenga watu imara,vyinginevyo,mifumo dhaifu hutengeneza watu dhaifu na mwisho wa siku vyote dhaifu.
Talking of the imaginations. Get back to reality.

Mifumo imara ikoje ?

Mifano ?

Hujengwaje ?
 
My take, huyu mzee alikuwa amejipanga kubrainwash watu ili apewe muhula mrefu wa kutawala nchi
Uizia Wizara ya Ujenzi alikokuwa, he was a forgerer all along.
Ndio maana wale walioshutumu jinsi ilivyopatikana PhD yake (tena somo gumu la Kemia) aliyosoma miaka miwili walipotezwa.
Kimsingi huyu jamaa hakuenda moja kwa moja Chuo Kikuu, alienda ualimu .
Maana yake unaelewa kama ni msomi.
 
Talking of the imaginations. Get back to reality.

Mifumo imara ikoje ?

Mifano ?

Hujengwaje ?
Utii wa sheria,utekelezaji wa Katiba kwa mwenye mamlaka na asiye na mamlaka,utawala wa sheria,uhuru wa mihimili ni miongoni mwa machache yanayohitaji kuzingatiwa kwa ustawi bora wa taifa lolote.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom