Mitaa wanayoishi MADON katika kila mkoa ni hii hapa

Babumawe

JF-Expert Member
Sep 12, 2014
2,556
2,560
Kila mtu ana lengo la kujenga au kuanzisha makazi sehemu zenye utulivu, amani na usalama vilevile kwenye hewa na upepo mwanana.

Mara nyingi hizi ni sehemu ambazo wanaishi madon au watu wenye ukwasi wa kutosha. Kwa research yangu baada ya kuzunguka mikoa mingi ya Tanzania basi hizi ni sehemu ambazo wanaishi madon unaweza na wewe ukaongezea.

DAR ES SALAAM ni Mbezi beach, Masaki, Oysterbay, Mikocheni B na Mbweni
MWANZA ni bwiru, Kapripoint na Kiseke
BUKOBA ni Miembeni na nyamkazi
MBEYA ni Forest Mpya na isyesye
DODOMA ni area D na kisasa
TANGA ni Raskazone
ARUSHA ni Njiro
MOSHI ni Shanty Town
MTWARA ni Shangani
MOROGORO ni Forest Hill
TABORA ni Uzunguni Nzega
SINGIDA ni Uwenge Uzunguni
SHINYANGA ni Bushushu na Majengo
ZANZIBAR ni Chukwani na Mbweni
IRINGA ni Gangilonga
LINDI ni mtanda
KAGERA ni nshambya

IMG_20210124_112521.jpg
 
Hata mimi nimeshangaa, afadhali SWASWA, kule kuko vizuri kama Mbweni.
Kwa Mtwara kuna Shangani West/ Chuno na Mangowela

Mangowela na Chuno kuna wakishua gani mkuu?
Au kila mkoa una standard zake za ukishua?
 
Back
Top Bottom