Mistubishi Pajero io inauzwa kwa Tsh 11 milioni

N

ntakisigae

Senior Member
Joined
Nov 26, 2013
Messages
171
Likes
6
Points
35
N

ntakisigae

Senior Member
Joined Nov 26, 2013
171 6 35
Mistubishi Pajero io inauzwa kwa bei ya Tsh.11 milioni. Gari iko kwenye hali nzuri sana na inafanyiwa service mara kwa mara.Na aneyeitumia ni mwanamama. Its a make 2000 ; 1850 cc Mileage 117,000.Maelewanao yapo.

Nipigie simu: 0657011122.Kwa wateja serious tu.Karibuni sana!
 
hekimatele

hekimatele

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Messages
9,489
Likes
280
Points
180
hekimatele

hekimatele

JF-Expert Member
Joined May 31, 2011
9,489 280 180
hizo gari na bei kwa soko la sasa ndugu yangu sikudanganyi. Bei iko juu.
Ipo moja inataka 8m mpaka sasa haijaondoka na imetembea 70,457 kms.
Mshauri maza apunguze bei.
Enewei, ni ushauri tu kama sio advice
 
Osaba

Osaba

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Messages
1,795
Likes
206
Points
160
Age
36
Osaba

Osaba

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2011
1,795 206 160
hizo gari na bei kwa soko la sasa ndugu yangu sikudanganyi. Bei iko juu.
Ipo moja inataka 8m mpaka sasa haijaondoka na imetembea 70,457 kms.
Mshauri maza apunguze bei.
Enewei, ni ushauri tu kama sio advice
Ni kweli mkuu watu wanazikimbia sana hizo gari, ikianza kusumbua ni balaa na mafundi wengi hawajazijulia mfumo wake wa injini hasa thermometer miezi miwili iliyopita niliiuza yenye namba bzz kwa milion saba tu baada ya kuanza kumiss miss injini, lakini ni gari nzuri sana kwa off road.
 
Shark

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Messages
23,057
Likes
11,375
Points
280
Shark

Shark

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2010
23,057 11,375 280
Ni kweli mkuu watu wanazikimbia sana hizo gari, ikianza kusumbua ni balaa na mafundi wengi hawajazijulia mfumo wake wa injini hasa thermometer miezi miwili iliyopita niliiuza yenye namba bzz kwa milion saba tu baada ya kuanza kumiss miss injini, lakini ni gari nzuri sana kwa off road.
ipo moja kuna jamaa yangu anaiuza kwa hiyohiyo 7, namba BBT, ukipata mteja tustuane bas mkuu
 
hekimatele

hekimatele

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Messages
9,489
Likes
280
Points
180
hekimatele

hekimatele

JF-Expert Member
Joined May 31, 2011
9,489 280 180
Ni kweli mkuu watu wanazikimbia sana hizo gari, ikianza kusumbua ni balaa na mafundi wengi hawajazijulia mfumo wake wa injini hasa thermometer miezi miwili iliyopita niliiuza yenye namba bzz kwa milion saba tu baada ya kuanza kumiss miss injini, lakini ni gari nzuri sana kwa off road.
Hizo gari formula yake ni ndogo sana. Mi natumia lower version yake i.e. Pajero Jr. manual transmission.
Dawa ni kuhakikisha unakuwa careful sana na wese. Hazitaki wese chafu wala wese la kuunga unga. Hakikisha empty tank yako always ndo half tank. Yaani gauge ya wese isishuke chini ya half tank kwa sababu ikishuka zaidi ikaanza kuvuta lile wese chafu linalokaa chini ndo gari inaanza kusumbua.
Its a disciplined practice but one has to go for it.
Otherwise ni kweli ni gari makini. Jitahidi ujenge urafiki na vituo vya TOTAL kwa ajili ya wese. ila kama ushazoea mafuta ya kuchakachua lazima ulie machozi.
 
Forum statistics

Threads 1,252,076
Members 481,989
Posts 29,794,766