Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 30,714
- 39,795
Kuanzia mwaka 2007 iphone wanatumia google maps katika simu zao. Hivi karibuni iphone wakazindua simu yao inayoitwa iphone 5 na wakasema watatumia maps zao lakini mambo yamekua kama vichekesho.
Maps za iphone mpya zimekua mbovu haijapata kutokea na hili halijabainika hadi watu wameanza kununua iphone mpya
Hio ni barabara mbele kuna kama bonde wakati kiukweli halipo
Kwenye mambo ya 3d (nokia wana city lens more advanced than 3d) wao bara bara 3d zilionekana kama hivi
La kushangaza kama si lakusikitisha hadi majengo yao wao apple hayapatikan kwenye ramani ukisearch no result found
Je huu ndo mwanguko wa iphone??