Mission 777 nchi ya Zumbaku

Ngungenge

JF-Expert Member
Jun 11, 2016
2,870
3,210
Ningependa kuandika kwa kina agenda hii ya kiusalama lakini bila kutaja majina ya aina ya idara ninayozungumzia moja kwa moja ili kuepusha kile kitakachodaiwa kuwa ni kutuhumu mwenendo wa idara ama kuthibitisha mipango inayoonekana ama kusadikika kwa kuzingatia namna ya uendeshaji wa idara hizi ambazo hufata matakwa ya katiba na kutoka mamalaka ya juu na kwa kuzingatia namna ya uendeshaji wake wa up to bottom hivo kupelekea kutokuweza kuthibitishwa kwa namna ya madai yoyote yanayoweza kutolewa dhidi ya njama ana mpango dhalimu kwa taifa. Lakini pia naiani walio wengi wataelewa nini ninachomaanisha.

Mwenendo wa sasa wa kiusalana nchini zumbaku

Mwenendo wa uendeshaji wa vyombo vya kiusalama awamu hii unajionesha kuwepo kwa hali ya kuelewana kutokuelewana kunakotokana na kutokuaminiana kwa mfumo wa taarifa na ari ya amri zenye mlengo wa unafiki unaopanga maamuzi kabla ya kazi hivo kupelekea kuwepo kwa mitego na hali ya wasiwasi na unafiki wa kuendeleza utii wa amri na kutokuhoji kwa maamuzi ya idara zake. Hii inatokana na kuridhika kutokuridhika wa baadhi ya mambo ya ndani yanayohusu uwezo na weredi wa kazi ambazo zimeanza kupelekea uwepo wa matabaka yasiyoonekana na makundi hasimu yaliyo na mlengo wa utofauti lakini unaokosa ushawishi kutokana na uongozi wa juu kukubali matakwa ya mamlaka ya juu kwa maslahi binafsi.

Hali hii imepelekea chokochoko na cheche zinazosubiri sababu lakini itategemeana na wadau wa nje watakavofanya kazi kwa weredi kuhakikisha wanahusisha baadhi ya veteran katika kutafuta suruhu ya kunusuru nchi ya zumbaku

Sababu kubwa za kile kinachoonekana kama hali ya mashaka zimechochewa na taratibu za kiuteuzi zilizofanywa na mamlaka ya juu ambayo kwa makusudi haikuzingatia utaratibu wa kawaida ama weredi wa kiutawala wa idara hii nyeti. Lakini hili halikukosewa wala kuvunja kanuni wala sharia yoyote ya nchi Zaidi ya taratibu za kawaida za maswala ya ulizni na usalama. Jambo ambalo limevumbuliwa na ningependa kuwaeleza leo ni ile nia ya jamii Fulani ambayo ningependa kuiita jamii X ikiratibu kwa ufanisi uwezekano wa kuweka dora gumu ambalo kutokana na uwingi na kuenezwa kwa idiologia yao kutapelekea kupeteza misingi ya nchi ya zumbaku.

Ushiriki wa idara hizi katika maswala ya kiutawala si jambo la bahati mbaya bali ni ile mission iliyokuwa inatafutwa kwa siku nyingi na hatimaye amepatikana mtu atakayeweza kuhakikisha mpango madhubuti unafanikiwa. Naweza kuwapa picha ndogo sana ya namna teuzi na operation za idara hizi zikishirikiana na ile ya malaka ya juu na subordinate wake wanavyofanya mambo tena kwa weredi mkubwa kuhakikisha kila teuzi muhimu na yenye nguvu itahitaji kupata mtu kutoka jamii X hivo kwa muda ama awamu ya kwanza watafanya foundation phase na kupelekea wale waliokua wana ota ama kudhani wanaweza kupata uhakika wakakosa na engine wale wachache walioamua kujitoa akili na kjipendekeza kama akina nanii ndio watakaokua wanufaikaji wa mfumo huu.

Teuzi hii muhimu ya idara hii nyeti ililenga mambo yafuatayo

1. Kuhakikisha kuibua watu wa jamii ile ili kuhodhi mamlaka na nguvu

2. Kuibua wafanyabiashara wapya kutoka jamii ile

3. Kumiliki rasilimali zenye utajiri mwingi ili kuweza kuwa na nguvu ya kipesa kwa jamii ile

4. Kupitisha azimio la kutawala ambalo litaungwa mkono na wananchi (referendum) kwa faidaa ya jamii ile.

Hatua hizi apo juu zimeanza kutekelezwa kwa nguvu kubwa chini ya uratibu wa idara ya kijasusu ya nch jirani ambayo ndio master minder wa malaka ya juu nchini zumbaku.

Moja ya maswali muhimu ni,

i) Nani ataweza kuzuia uratibu wa mpango huu.

ii) Je wale veteran walitarajia hili litokee

iii) Nani anayeunga mkono mpango huu na kwanini

iv) Nini athari zake kiulinzi na usalama hasa ukizingatia mamlaka hii inapango wa kuweka historia

v) Nini kitafanyika mapema uchaguzi ujao je kuna nia ya dhati ya kuzuia ama kupoteza malengo ya mfumo huu mpya …

Nitaendelea …….

Katika kipengere cha malengo ya teuzi zinazoendelea kila mahali nchini zumbaku

1. Kuhakikisha kuibua watu wa jamii ile ili kuhodhi mamlaka na nguvu

Jambo hili linaendelea kama nilivokua nimeeleza hapo awali, wakuu wanaamini ili kutimiza azma yao ni sharti wahakikishe watu muhimu na wanaoweza kutii, kupanga na kuratibu mipango hii inatimia. Tayari baadhi ya nafasi za juu zimesha jazwa na watu kutoa jamii X na wanaendelea kufanya ivo. Huu ni umafi wa kiwa cha juu na pengine wale wapuuziaji wa mambo watakuja kushtuka dakika za mwisho wakati mambo yameharibika. Jambo hili ni gumu sana kudhibitka kwa kua nguvu na mamlaka zinatika juu na wanafata wanatii tuu kwaio hata kama waliobaki hawataki haisaidii kitu.

Ukitoka ndani ya idara za usalama pia wanaendelea kusambaza watu wao kila idara ndani ya serikali ya zumbaku, kupandisha vyeo na kuteua wapya hi inafanyika kwa makusudi ili lengo lao litimie.

Pia watu kutoka jamii X wataingizwa katika vyombo vya ulinzi kwa wingi, hii haijawahi kutokea. Lakini itafanyika kwa makusudi ili kuwe na uwezo wa kusikilizana na kudukua taarifa kutoka sehemu yoyote pamoja na kudhibiti wanaopinga ama kwenda kinyume na mamlaka ya juu

2. Kuibua wafanya biashara wapya ndani ya jamii ile

Tayari taratibu hizi zimeanza kwa ama kudhibiti watu wasiotokana na jamii ile, ama kupoka na kuanzisha wafanyabishara wapya katika biashara mbali mbali nchini zumbaku, mfano mzuri unao endelea ni kuifanya kampuni moja ya mafuta inayomilikia na jamii ile kua monopoly, pamoja na kikundi Fulani cha biashara maarufu nchini zumbaku hii nalo limetimizwa tayari na kwa maeneo mengine linaendelezwa kwa wale wengine watasaga meno.

3. Kumiliki rasilimali zenye utajiri mwingi ili kuweza kuwa na nguvu ya kipesa kwa jamii ile

Tayari hili linatekelezwa kwa umakini mkubwa, tender na mambo mengine makubwa yanaratibiwa na watu wa jamii X, unaweza kujiuliza kwa nini, ni kwa sababu wanajua kua endapo watafanikiwa kumiliki rasilimali hizo, wataweza kujipatia utajiri mwingi na kwa muda mfupi, hivo wataweza kununua mtu au taasisi yoyote, na ukizingatia nchini zumbaku umasikiani ni mwingi lengo la kutumia fedha kufanikisha kila adhma yao itatimia. Kwa sasa wanafanya cooperate business na wanaowaita wawekezaji wapya na tayari kumefunguliwa account maalumu inayoratibu shughuli za uwekezaji, pamoja na utunzaji wa kiwango kikubwa cha pesa kwa ajili kuendelea kushika dola

4. Kupitisha azimio la kutawala ambalo litaungwa mkono na wananchi (referendum) kwa faidaa ya jamii ile.

Nafikiri hili ndo limeanza kuwashtua watu kwa sasa, lakini hili halitafanyika uchaguzi unaokuja nchini zumbaku yaan mwaka 0022 bali litafanikiwa Zaidi baada ya uchaguzi huo. Sababu zitakua kama mnavozisikia sasa, kelele kutoka sehemu mbali mbali zitahusishwa, makundi ya kijamii, mijadala, maandamano, pongezi lakini mwisho bunge la nchi ya zumbaku litafanikisha swala hili. Kutafanyika marekebisho madogo ya katiba na kwa asilimia kubwa yatapitishwa

Namna watakavyopitisha

Mikakati midogo ya kufanikisha mpango huu utaanza kabla ya uchaguzi 0022 na kipindi cha uchaguzi. Chama kinachotawala nchi ya zumbaku kita hakikisha wabunge wote wanaoonesha nia ya kupinga mpango huu wanaondolewa katika kula za maoni. Pia mamlaka zitahakikisha wabunge wanaoweza kuwa tishio kwa mpango huu wanaondolewa kutoka vyama vya upinzani. Hii tutarajie watu wakiuwawa nguvu kubwa ya dora itatumika dhidi yao na wakishatangaza, watake wasitake hakutakua na kurudi nyuma. Imenilazima kuwatahadharisha wale wabunge wenye mlengo wa kushoto kujiandaa maana hakutakua na msalia mtume, wala mahakama, wala wananchi hawataweza kuwasaidia, ni vema wakajiimarisha na kujiandaa mapema na kuandaa watu wao ki saikolojia ili wajue ni aina gani ya mapambano watakabiliana nayo

Nitaendelea vipengele vinavyofata ………
 
Ushauri wako si wa kupuuzwa wala kukebehiwa,Uzalendo uliotukuka toka kwa wanaofahamu nchi yetu ilikotoka ilipo na inakoelekea unahitajika katika kupembua/kuchunguza/kudhibiti tahadhari zitolewazo juu ya uvurugaji wa mifumo,mila na desturi za Taifa.

Hatupaswi kuwa na chuki na ndugu,jamaa na rafiki yeyote kitaifa lakini hira,fitina,husuda,chokochoko na uharamia wa kikabila vinapaswa kupingwa na kuthibitiwa kwa gharama ya uzalendo uliotukuka.Jamii za wenzetu zijifunze kuheshimu haki,utu,heshima,ubinadamu na usawa kwa wote.

Viongozi na wenye madaraka fungueni macho,masikio na fahamu zetu ili kuilinda nchi kwa maslahi ya vizazi vilivyopo na vijavyo.Mungu mwenye enzi yote anawaona kila mtendayo ..Tendeni kwa hofu ya Mungu,tendeni kwa haki,Tendeni huku sifa na heshima za mema mtendayo mkimrudishia Mungu.

Hatutaishi milele ipo siku kila mmoja ataonja mauti.. lakini kweli itabaki kuwa kweli na uongo siku zote hujitenga dhidi ya kweli kama ambavyo mwanga hujitengavyo na kiza/giza..Kweli ni mwanga wa jamii yetu.
 
Duuu!! Wataufuta huu uzi wako soon maana najua jirani ni pale pembeni kwa jamaa wa vimiwani....maana huu urafiki siuelewi
 
Ngoja ni subscribe huu uzi kuna kitu apa cha kujifunza sisi zumbakunians
 
wakija kushtuka tumetumbukia kwenye shimo refu lisilo na ngazi.Walio tu tu mbili za hawana shida wanatafuta mema ya nchi kwa upepo.mwanana huku wakijinyea Kahawa kwenye viunga vya bahati ya Hindi.

Tusubiri Kudra za mwenyenzi.Mungu kutitoa tulipo.Siyo CCM wala wale waliopita ndiyo watatunusuru Bali Mwenyenzi Mungu tu.
 
nitaendelea kueleza zaidi mipango hii nazani kwa kinachoendelea nchini kwa sasa kinaweza kukupa taswila fulani kuhusu mpango huu haramu
 
wakija kushtuka tumetumbukia kwenye shimo refu lisilo na ngazi.Walio tu tu mbili za hawana shida wanatafuta mema ya nchi kwa upepo.mwanana huku wakijinyea Kahawa kwenye viunga vya bahati ya Hindi.

Tusubiri Kudra za mwenyenzi.Mungu kutitoa tulipo.Siyo CCM wala wale waliopita ndiyo watatunusuru Bali Mwenyenzi Mungu tu.
ni hatari mkuu wameanza na kutaka pongezi ku organize maandamano mikakati yao inaendelea kwa kasi sana
 
Viongozi na wenye madaraka fungueni macho,masikio na fahamu zetu ili kuilinda nchi kwa maslahi ya vizazi vilivyopo na vijavyo.Mungu mwenye enzi yote anawaona kila mtendayo ..Tendeni kwa hofu ya Mungu,tendeni kwa haki,Tendeni huku sifa na heshima za mema mtendayo mkimrudishia Mungu.
wewe ndo unahofu na Mungu lakini sio wao mana mipango yao inafanyika kwa kasi sanaa they are serious moving fast tukija ku shtuka nchi imeenda
 
Ushauri wako si wa kupuuzwa wala kukebehiwa,Uzalendo uliotukuka toka kwa wanaofahamu nchi yetu ilikotoka ilipo na inakoelekea unahitajika katika kupembua/kuchunguza/kudhibiti tahadhari zitolewazo juu ya uvurugaji wa mifumo,mila na desturi za Taifa.

Hatupaswi kuwa na chuki na ndugu,jamaa na rafiki yeyote kitaifa lakini hira,fitina,husuda,chokochoko na uharamia wa kikabila vinapaswa kupingwa na kuthibitiwa kwa gharama ya uzalendo uliotukuka.Jamii za wenzetu zijifunze kuheshimu haki,utu,heshima,ubinadamu na usawa kwa wote.

Viongozi na wenye madaraka fungueni macho,masikio na fahamu zetu ili kuilinda nchi kwa maslahi ya vizazi vilivyopo na vijavyo.Mungu mwenye enzi yote anawaona kila mtendayo ..Tendeni kwa hofu ya Mungu,tendeni kwa haki,Tendeni huku sifa na heshima za mema mtendayo mkimrudishia Mungu.

Hatutaishi milele ipo siku kila mmoja ataonja mauti.. lakini kweli itabaki kuwa kweli na uongo siku zote hujitenga dhidi ya kweli kama ambavyo mwanga hujitengavyo na kiza/giza..Kweli ni mwanga wa jamii yetu.
nani atachunguza nani atadhibiti wakati Usaoama wa Taifa wamekua watumwa baada ya wangalizi na wadhibiti wa mambo kama haya
 
Wameanza na maandamano ya kutuandaa kisaikolojia eti aongezewe muda.
wameanza kubadili mila desturi na utamaduni wetu kwa kuanza kupandikiza mbegu ya kubaguana kuchukiana hatimaye ni kuporomoka kwa umoja wa kitaifa
 
Uzalendo wa kweli unahitajika tukae sawa...

Kuwanyima watu elimu ni athari mbaya ambayo inaifanya jamii kutofikiri na kubaki kushangilia kwa kufuata mkumbo..
 
Kundi X ni kundi linalojipandisha kwa kasi kubwa sana.
hii propaganda wameianza kwa kasi sana hata umu JF wanawatu wao kila siku wanaanzisha chokochoko za aina hii kibaya zaidi wanaounga mkono hawajui mazara yake wao wanajua wanawakomoa watu wa upande wa pili
 
Uzalendo wa kweli unahitajika tukae sawa...

Kuwanyima watu elimu ni athari mbaya ambayo inaifanya jamii kutofikiri na kubaki kushangilia kwa kufuata mkumbo..
nchi imekaa vibaya ingawa watu hawalioni ilo ila ukweli ndo uo
 
Back
Top Bottom