rudi kijijini kwani umelazimishwa kula za hapa mjini?
i miss home too jamani
Mkuu Safari_ni_Safari, nisubiri ninawe mikono nakuja na ugali...
Huyo niliyemzungishia red nae aliwa?
Jamani nimemiss hii kitu acha tu zahapa mjini siyo fresh!!View attachment 18418