Miss World: Miss Tanzania Happiness Watimanywa atinga Top 10

Steph Curry

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
5,939
4,703
Wale wanaopiga kura kwa Miss Tanzania waendelee kwa nguvu zote. Kaingia Top Ten Leo, mukiendelea na moto huohuo kuna ushindi hapa ukizingatia Africa wameingia wawili tu, yeye na Miss South Africa..
 
Attachments

  • 1418229549949.jpg
    1418229549949.jpg
    34.5 KB · Views: 2,907
hizi njia za kuvote ndo zenyewe kweli isije ikawa kama ile link fake aliyoletaga diamond kwa B.E.T awards
 
Endelee kupiga amedrop hadi 25 tena! nimegundua kuna watu wanafanya makosa kwenye kupiga kura! Maana hutakiwi kuchagua wale wenye namba pembeni ili kumhakikishia ushindi yeye pekee ndio anatakiwa kuwa na namba kati ya watatu! Sijui kama hili wapiga kura wanalijua!
 
hizi mambo za voting online siziamini kabisa.
kama mtu hawezi kujieleza na kuelezea mambo yaliyombele yake kura haziwezi kumuokoa.

ingekuwa ni kupiga kura tu kuna nchi wangekuwa wanashinda kila mwaka
 
Endelee kupiga amedrop hadi 25 tena! nimegundua kuna watu wanafanya makosa kwenye kupiga kura! Maana hutakiwi kuchagua wale wenye namba pembeni ili kumhakikishia ushindi yeye pekee ndio anatakiwa kuwa na namba kati ya watatu! Sijui kama hili wapiga kura wanalijua!

Duuuuh kadrop tena.. Labda wapiga kura wako busy airport kumpokea Idris
 
Namuombea Mungu amfikishe mbali tuzidi kuweka heshima angalau kwenye sanaa nchini Tz
 
Endelee kupiga amedrop hadi 25 tena! nimegundua kuna watu wanafanya makosa kwenye kupiga kura! Maana hutakiwi kuchagua wale wenye namba pembeni ili kumhakikishia ushindi yeye pekee ndio anatakiwa kuwa na namba kati ya watatu! Sijui kama hili wapiga kura wanalijua!

Huko insta ndo kuna kampeni ss cjui km wanaelewa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom