Miss World: Miss Tanzania Happiness Watimanywa atinga Top 10

Kupiga kura, nenda Play store download App inaitwa Miss World then utafata maelekezo. Wataalamu wengine watakuja kuwafahamisha zaidi
 
wati3.jpg wati2.jpg wati.jpg
 
Daah hapa Lundenga alifanya kazi..


Happy alistahili

She is beautiful

And intelligent

Kila mtu alifurahia na kuunga mkono ushindi wake....It was fair..

BUT Miss bibi bomba wa mwaka huu hapana
 
Happy alistahili

She is beautiful

And intelligent

Kila mtu alifurahia na kuunga mkono ushindi wake....It was fair..

BUT Miss bibi bomba wa mwaka huu hapana

Mwaka huu alitaka kutuvuruga kabisa yule mzee
 
Apigwe chini tu apewe mwingine.. Kashaandaa mengi apumzike sasa awaachie vijana akina Le Mutuz lol

Hahahahah....sasa na wewe unaanza kupotea njia...le mutuz tena....si atawaita ma bebs wake kina sintah washindanie na mashindano yatafanyika instagram
 
jamanii ukitaka kupiga kura mara nyingi uwezavyo uninstall hiyo apps ya miss world kwa cmu yako then install upya utapiga kura utakavyo..let us vote guys
 
kama ku unistall tena unahisi uvivu basi nenda kwenye setting then ingia manage apps after that clear data kweny hiyo apps ya miss world..unaweza kuendelea kuvote mara nyingi kadri uwezavyo
 
Back
Top Bottom