Miss World 2014: PEOPLE CHOICE AWARD

Goodluck Mshana

JF-Expert Member
Aug 7, 2011
1,271
1,119
Watanzania tukiamua tunaweza jenga historic, unthinkable and untold archive of misses! Just take a minute, download Miss world Application then follow all the easiest needy procedures! Tutamuweka mdogo na Dada yetu kwenye position nzuri ya ushindi.

Tuliweza kwa Idris wa BBA hapa hatushindwi. Isitoshe kauli kama za kina Davido, baada ya ushindi wa Idris, ziwe chachu ya umoja wetu. Tuwaoneshe ya kwamba WE DON'T CHEAT AND WINNING IS JUST PART OF BREAKFAST! Maliza kupiga kura yako ya Serikali za Mitaa halafu Mpigie na Happiness! Closing date ni leo saa tisa mchana kama nipo sahihi!
 

Attachments

  • 1418547289439.jpg
    1418547289439.jpg
    26.2 KB · Views: 513
Let's go Tanzania.. Kupiga kura unachagua selection 3 so hakikisheni Happy unamweka wa kwanza alafu hao wawili waliobaki wekeni ambao hawako top 10 au top 30 ili kupunguza competition kwa Happy
 
Cc Remote

Inawezekana kupiga mara nyingi uwezavyo... Fanya hivi :
1. Uninstall Miss World App
2. Re-store the App (as many times you can)
3. Vote

Updates
Naona wamepost kwamba ukimpigia zaidi ya Mara moja device inasoma so kura inakuwa ileile moja so hawaruhusu.....here is our plan B.......washawishi watanzania wote wenye smartphone wampigie kura.....then wale wote wenye access na pc nao wavote
 
Last edited by a moderator:
Mimi tayari nimeshapiga kura yangu ya kuikataa CCM katika uchaguzi Wa serikali za mitaa. Kabla sijampigia kura huyu dada yetu huko miss world nataka kujua huyu dada ni CCM au UKAWA?
 
Let's vote jaman ...let's cheat again banah we caaaaaaan,let's gooooooooo Tanzanians.....

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Naona wamepost kwamba ukimpigia zaidi ya Mara moja device inasoma so kura inakuwa ileile moja so hawaruhusu.....here is our plan B.......washawishi watanzania wote wenye smartphone wampigie kura.....then wale wote wenye access na pc nao wavote
 
Back
Top Bottom