Miss World 2008 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Miss World 2008

Discussion in 'Entertainment' started by Yo Yo, Dec 13, 2008.

 1. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #1
  Dec 13, 2008
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Hii kitu imeshaisha? huwa siangalii kwa saana sababu vipaja vya washiriki ni aibu...anyway nani kashinda? Nasreen vipi, kama kawaida wabongo ni vichwa vya wendawazimu?
   
 2. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #2
  Dec 13, 2008
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,453
  Likes Received: 7,217
  Trophy Points: 280
  Hivi kumbe ni leo!labda Miss TZ kashinda!
   
 3. share

  share JF-Expert Member

  #3
  Dec 13, 2008
  Joined: Nov 22, 2008
  Messages: 2,294
  Likes Received: 2,278
  Trophy Points: 280
  Asante YO YO kwa kutustua. Binafsi nilijisahau kuwa mambo ni leo. Ngoja sasa niingie duniani kufuatilia.
   
 4. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #4
  Dec 13, 2008
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Miss Russia amekuwa Miss World!
   
 5. share

  share JF-Expert Member

  #5
  Dec 13, 2008
  Joined: Nov 22, 2008
  Messages: 2,294
  Likes Received: 2,278
  Trophy Points: 280
  Na demu wetu je? Hata kumi bora hakunusa!? Tuhabarishe.
   
 6. M

  Mtu wa Kawaida JF-Expert Member

  #6
  Dec 13, 2008
  Joined: May 2, 2008
  Messages: 217
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Miss World 2008 Winners and Results

  Miss World 2008: Miss Russia
  1st Runner-up: Miss India
  2nd Runner-up: Miss Trinidad and Tobago

  Five Finalists
  Miss India
  Miss Trinidad and Tobago
  Miss Angola
  Miss Russia
  Miss South Africa

  Fifteen Semi-Finalists

  Miss Russia, Miss Mexico, Miss Barbados, Miss Trinidad and Tobago, Miss Iceland, Miss Venezuela, Miss Ukraine, Miss Croatia, Miss Brazil, Miss Angola, Miss Kazakhstan, Miss Puerto Rico, Miss Spain, Miss South Africa, Miss India
   
 7. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #7
  Dec 13, 2008
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Russian crowned Miss World winner

  Je kuna haja ya kuwa na independent agency ya kusimamia haya mashindano ya sanaa na vipaji hapa Tanzania? Manake naona kama kamati ya Ms. Tanzania is under serious doubt! kama hipo kwa ajili ya kwakuza na kuwalea dada na mabinti zetu kwa manufaa ya umma. Naomba kuwakilisha hoja


  Kseniya Sukhinova from Russia competed against 107 contestants
  Russian contestant Kseniya Sukhinova has won the Miss World 2008 competition at a ceremony in South Africa.

  Trindad and Tobago's Gabrielle Walcott was second runner-up and India's Parvathay Omanakuttan was first runner-up, from among 109 contestants.

  Millions of people were expected to watch the annual pageant, being held in Johannesburg.

  It was the sixth time that South Africa has held the event, more than any other country.

  South Africa organisers were said to be keen to calm concerns about the country's ability to host the 2010 FIFA World Cup.

  For this first time in the competition's history, viewers in 180 countries had the opportunity to vote for one of the semi-finalists through the internet.

  An international jury decided the winner.

  Miss Sukhinova is from Siberia, studying for an engineering degree.
  BBC NEWS | Africa | Russian crowned Miss World winner
   
 8. M

  Mwanjelwa JF-Expert Member

  #8
  Dec 13, 2008
  Joined: Jul 29, 2007
  Messages: 961
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  TUnahitaji coach kutoka Venuzeula sasa. Maana mabinti zetu wazuri sana na wana mvuto mkubwa sana. Popote Duniani. Tatizo ushamba na uigizaji. Hatuwezi pata Mvenezuela mmoja ku-coach namna ya kuacha kushangaa bila sababu?
   
 9. Mtaalam

  Mtaalam JF-Expert Member

  #9
  Dec 13, 2008
  Joined: Oct 1, 2007
  Messages: 1,278
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  hheheh kip on dreamin guys n kupiga kelele kama kawa...
  hiyo ndo tz yetu n it wil neva change 4 a meanwhile...labda tu wenye kushika mpini wapoteee wooote kwa mpigo!
  tulishaambiwa hiyo kitu ni mali ya hao kina lundenga na patel kwa bongo,so stay tuned msubirie kusikia ya mwaka 2009 yafanyika wapi na kiingilio bei gani
   
 10. Nkamangi

  Nkamangi JF-Expert Member

  #10
  Dec 13, 2008
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 642
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nafikiri wakina dada wa kiTz wenye qualities za miss world hawana interest ya hiyo michuano. Huyu tuliyemtuma mwaka huu amesema " my interest is to become a medical officer, i am studying international relations" hivyo vitu viwili vinauhusiano gani? simsingizii nimesikia kwenye website ya ms world. Wanakremishwaga au ni software tu mbovu? kyeleeuhwi eh! Si waongeage tu ki swahili? mbona wengine wanastick to mother tongue zao?
   
 11. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #11
  Dec 13, 2008
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,322
  Likes Received: 1,039
  Trophy Points: 280
  Nadhani sekta hii nayo yahitaji 'MARCIO MAXIMO' wa warembo kutoka Venezuela,mbona Taifa Stars kwa kupitia MAXIMO wameweza kwenda CHAN
   
 12. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #12
  Dec 13, 2008
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Lundega et al kazi yake ni kupiga mikasi warembo wetu na kufanya ukwawadi kwa wakwale wa ngono Tanzania. Ulitegemea nini?
   
 13. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #13
  Dec 13, 2008
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Balantanda nahisi Lundenga atakuwa amekusikia.. au JK yuko tayari kumlipa huyo nguli wa walimbwede.
   
 14. Mtaalam

  Mtaalam JF-Expert Member

  #14
  Dec 13, 2008
  Joined: Oct 1, 2007
  Messages: 1,278
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  m stil tryin kusoma mara mbili mbili kuhakikisha kuwa tanzania yetu haimo jamaniiiii??nisaidieni maana yawezekana uzee wanijia vibaya!

  mhm na sasa tutaambiwa visingizio gani?cd haikutumwa?au mshiriki alichelewa kwenda?
   
 15. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #15
  Dec 13, 2008
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Ushirombo unakaushahidi ukatupe hapa forum au ndo mambo ya 'gametheories' na abstract allegation?
   
 16. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #16
  Dec 13, 2008
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Nkamangi, wenyewe wanasema kwamba 'yai' deal! wajifunze kwa wenzao wa russia na America ya Kusini. Lundenga, angekuwa mzalendo wa kweli angeshawafundisha na kupiga chepuo kuakikisha kwamba lugha ya taifa letu ' Kiswahili' inakuwa sehemu ya lugha za mashindano.
   
 17. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #17
  Dec 13, 2008
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280

  Mkuu,
  Jk asije akapita hapa akakusikia ,atapata sababu ya kuruka viwanja,na ukichanganya tena anavyopenda totoz,aisee usitutafutie balaa.
   
 18. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #18
  Dec 13, 2008
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mkulu nadhani umetoka Bongo muda mrefu!! Hii kitu ipo wazi, wakati wa kambi za mammiss wee tembelea uone magari yanavyopishana, na vimwana wanavyoruka mna mabazazi. Ukitaka miss yeyote wee longa na Lundenga atakupa namba na yeye akuambia muwezeshe miss mavazi etc na yeye lazima umpoze....
   
 19. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #19
  Dec 13, 2008
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145

  Mkuu Ben, trip ya safari hii America ya Kusini , kituo Rio de Jeneiro kisha huyo kwa Hugo Chavez !
   
 20. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #20
  Dec 13, 2008
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Duh Kazi kweli kweli... kwa hiyo wanaku'Rod Blagojevich' !!
   
Loading...