MISS UJAUZITO aka Mimba

zayat

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
337
42
Kwa miaka mingi kumekuwa na mashindano ya urembo wa akina dada mamiss na wembamba na kwa uchache wanawake wanene.Lakini vipi wajawazito?
Nchini Marekani katika jimbo la Texas kumefanyika shindano la urembo kwa wanawake wajawazito.

Wapo walioonyesha kuwa wapo flexible hata wakati wa ujauzito anaweza kuchana msamba!!

Wapenzi na waume zao walikuwepo kuwashangilia na kuwapa support.
 

Attachments

  • miss mimba.jpg
    miss mimba.jpg
    19.8 KB · Views: 1,065
  • miss mimba 2.jpg
    miss mimba 2.jpg
    21.5 KB · Views: 170
  • miss mimba 3.jpg
    miss mimba 3.jpg
    17.9 KB · Views: 142
  • miss mimba 4.jpg
    miss mimba 4.jpg
    18 KB · Views: 238
Hii kali, itapendeza kama nasi tutayaanzisha haya mashindano hapa kwetu Bongo.
 
Marekani hakuishi vituko kuna mwaka yalifanyika mashindano ya kutafuta miss mrembo wa umri wa kuanzia miaka 65 na kuendelea. Vibibi vilishiriki sura zimekunjamana lakini havikuona aibu. Vilikomaa hadi unajiuliza kama akili zao ziko sawa!
 
Kwa huyo aliepiga msamba lazima mtoto azaliwe akiwa amepiga msamba pia!
 
huyu mwenye kichupi cheusi atashinda!
Duh, kazi ipo!<br />
<a href="https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=36848&amp;d=1315558721" target="_blank"><img src="https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=36848&amp;d=1315558721" border="0" alt="" /></a>
<br />
<br />
 
vitoto vitakavyotoka hapo wengi watakuwa athletics na cheerleaders...we ngoja tu
 
Nani kawasababishia haya madhara ya tumbo kwenda mbele! watu hawakomi tu! du!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom