Miss u Faiza Foxy

Da alikuwa ananiboa sanaaa na kunikeraa.
Lakini siyo siri alikuwa ananifurahisha sana kwa ujasiri,uhodari na stamina yake ya kuweza kubishana na kuzipangua hoja za wadau kwa hoja na point zenye ujazo bila kutoka nje ya mada na bila hasira wala ghadhabu.

Hicho ndio nlikuwa nampendea FF hata siku moja hatoi kashfa wala matusi,yeye japo ukweli anauona lakini atajitahidi kucheza karata zake vizuri tena kwa hoja,we miss u FF,pls pm me kama una I'd nyingine nijue uwepo wako,
 
....kwani huyu Faiza aliwakosea nini ma mods....
Uskute ndo mambo yetu yale...
 
I hate politics ila huyu FF alifanya niwe naangalia jukwaa la siasa mara kwa mara!!!kama mchezaji alikuwa anaenda kama Messi!anakusanya kijiji na kutoa pasi na kuwaachia wapinzani wake wanajigonga wenyewe!....
 
Its true, ni miongoni mwa wanawake wa shoka humu jukwani!. Sidhani kama kupotea kwake ni sababu ya ban, huyu atakuwa kaisusa jf baada ya kugundua ile agenda yake na guru wake Mzee MS inapata upinzani mkali humu jukwaani, kajifungashia virago vyeke na kujiishia zake!.

FF huko iliko, japo ni kweli tunakumisi sana humu jukwaani, wewe ni Mwanamke swafi wa Kiislamu bora jitulize hivyo hivyo utimize kile Mola alichokuletea duniani kumhudumia mumeo, kutunza familia yako na kumswalia Mtume!. Sio kuja kupigishana mikelele na mijitu ya humu!.

Mkuu FF hana hizo!! Akirudi utashangaa ataanza na wewe na amana haamini katika lolote toka kwa compliments zako!!

Mtu gani hajawahi kuto senksi kwa mtu awaye yeyote!!:cool2:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom