Miss tz vodacom inaendelea, star tv live

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
kitendo cha kuendelea kuwa na mashindano ya vodacom miss TZ,ni wazi kuwa Wao si wamoja katika muungano huu,Taifa linakabliwa na simanzi ya ajari ya Meri wakati wengine wanashindana nani Ana SURA NZURI.Lundenga wewe Ni Dini gani.

Kwakweli ni shughuli ambayo ingeweza kuahirishwa lakini kwavile hiyo ndio main source of income kwa ankal Hashim, inabidi aendelee nayo tu

Mashindano kwa kweli ni mazuri sana. Nawapongeza wote walioyafanikisha. Hongereni kwa uzalendo wenu.

dah..jirani ana msiba we unafanya party!...wazenji msitumie line za voda,maana wao ndio wanampa hela anko lundenga...na kn mtu toka wizarani/serikalini basi hy shujaa

Star Tv si wangeonyesha uzalendo wao kwa kuonyesha live shughuli za uokoaji?

Wamelipwa na vodacom kurusha matangazo hayo,lile la uzalendo halina posho.hapo ni fedha na anasa mbele uzalendo nyuma.pamoja

tupeni updates za miss tanzania bana ....life must go on.....

Uko mkoa gan ambao hauna umeme au tv hata kwa jiran.
Sasa hv show zaendelea naona wanacheza cheza kama wanafanya matambiko. Vile nina wasiwasi Na ajali hyo na sherehe ya vodacom miss Tz.

mnavyojifanya mna huzuni utadhani hamjanywa bia leo. ambaye sio mzalendo ni mwenye ukumbi,lundenga wa watu keshalipia mziki na ukumbi,akiahirisha itakuwaje? wenye maharusi leo nao wameahirisha wote?

mnavyojifanya mna huzuni utadhani hamjanywa bia leo. ambaye sio mzalendo ni mwenye ukumbi,lundenga wa watu keshalipia mziki na ukumbi,akiahirisha itakuwaje? wenye maharusi leo nao wameahirisha wote?

Si haeri hata harusi haionekani hata kwenye ving'amuzi vya mabox,huoni warembo wako na jezi nyekundu.
Rudi kwenye noti ya mia tano kuna nyoka na fimbo?
Hujagundua ajari hyo ni ushindi wa igunga?
Nchimbi hajui kuwa tuna msiba wa kitaifa?
Acha kijana ful kitamba cheusi

sasa ndugu,ww uzalendo wako unaonesha kwa kukodolea hiyo miss vodacom kwenye tv? ina maana ungekuwa na ticket ungeenda pamoja na huzuni zako? naona kama huu uzi uko kiuchochezi zaidi,manake ningetegemea ungekua kwenye swala nzito kuwaombea ambao wako majini mungu awatunze na waokoaji wapate nguvu ya kuendelea kuwasaka!
na wasiwasi wako hasa ni nini? kuwa kuna uhusiano wa miss tz na hii ajali ama?

Uko mkoa gan ambao hauna umeme au tv hata kwa jiran.

Sasa hv show zaendelea naona wanacheza cheza kama wanafanya matambiko. Vile nina wasiwasi Na ajali hyo na sherehe ya vodacom miss Tz.

Back
Top Bottom