Hii zawadi baadae itageuka mzigo manake repairing and maintaining Jeep Patroit sio kazi ndogo. Acha mbali gharama ya mafuta kwa mwanafunzi wa chuo as most of these young ladies ni wanachuo.
Bora wampe hiyo cash, itamsaida kwenye elimu na maisha ya baadae, sasa li-jeep sijui unalifanyia nini.
Lundenga na kamati yako, ifikie mahali zawadi kwa mamiss ziwe zina tathminiwa na ziendane na mabinti wadogo.
All in all, i wish all the young ladies all the best.