Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 3,907
- 6,700
Mjue BI THERESA miss Tanzania wa kwanza 1967 tangu kuanzishwa mashindano ya umisi na alifariki mjini augburg Munich German 26/1/2007
Na yeye dogi wake anaitwa nani?Mjue BI THERESA miss Tanzania wa kwanza 1967 tangu kuanzishwa mashindano ya umisi na alifariki mjini augburg Munich German 26/1/2007View attachment 1779447
Ah vimini vilikuwepo enzi hizo.Mjue BI THERESA miss Tanzania wa kwanza 1967 tangu kuanzishwa mashindano ya umisi na alifariki mjini augburg Munich German 26/1/2007View attachment 1779447
Kwa watu maalum tuAh vimini vilikuwepo enzi hizo.
Ni kwa sababu tu hayo mashindano yaliandaliwa na mabeberu! Tungeandaa sisi, haki ya nani angevaa kaniki na shanga mwili mzima.Halafu utakuta wazee wanalalamika eti mabinti wa sasa wanavaa nusu uchi.....ona sasa wao