MISS TANZANIA WAJIACHIA NA MAPAPARAZI MEDIA DAY photos | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MISS TANZANIA WAJIACHIA NA MAPAPARAZI MEDIA DAY photos

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Jan 30, 2010.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Jan 30, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  <table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"><tbody><tr><td align="left" bgcolor="#cccccc"><table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"><tbody><tr><td class="news1">
  </td> <td class="news1" align="right" width="150">
  </td> </tr> </tbody></table></td> </tr> <tr> <td bgcolor="#999999">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="morenews" align="left" bgcolor="#f3f3f3" valign="top">Wanyange wanaowania taji la Miss Vodacom Tanzania 2009 leo wamejiachia na waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari katika viunga vya hoteli ya kisasa ya Giraffe Ocean View iliyopo Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam ikiwa ni siku maalum iliyokuwa imeandaliwa kwa ajili ya kufanya mahojiano na waandishi.

  Tukio hilo limefanyika wakati bado takriban siku tatu warembo hao wapande jukwaani kwenye fainali za shindano hilo zinazotarajiwa kufanyika Oktoba 2 mwaka huu, Mlimani City jijini Dar es Salaam.

  Zifuatazo ni picha za warembo hao wakiwa katika pozi mbalimbali maeneo ya Hoteli hiyo:

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->  http://www.globalpublisherstz.com/2009/12/04/sarah_mvungi_kugawa_bure_albamu_yake.html

  </td></tr></tbody></table>
   
Loading...