Miss Tanzania avuliwa kuiwakilisha Tanzania kwenye Miss World kutokana na utovu wa Nidhamu

Nakwambia wamemjaza mimba na tena alikua ni mume wa wenyewe..nyakunyaku mkubwa adi akashtakiwa huko kwenye hiyo miss Tz yao..Sijui atakua ameflash au anayo bado..jinga sana hili limetutia aibu hata matumizi ya ndom pia hajuwii..
 
Waweke wazi taratibu walizotumia mpaka kufikia hapo na sio statement za jujuu tu, hawa watu walishaonyesha walakini toka waanze kuwapa washindi gari used choka mbaya kama zawadi!!
Kama mwaka gani vile jamani lina rangi kama za matatu ya hapo kwa jirani!
 
  • Thanks
Reactions: vvm
Ndio shida ya shindano lenye jina la nchi kumpa mtu binafsi aliendeshe na afanye maamuzi.

Anakukata tu sababu umemnyima kitu
So serekali za mitaa wapewe wasimamie mashindano ya u miss! Nakojooaaaa
 
Mbn hawaweki wazi alifanya nn?

Kwanza kama alishatangazwa mshindi iweje tena wampokonye?

Au alipewa condition ya nipe nikupe baadae akakataa?
 
Kigogo 2014 yule wa twitani ndo anaweza tupa majibu vizuri kuhusu hili saga sema tangu afannde CDF mabeyo atoe dokezo pale msibani chatoni kigogo kapotezwa mbaya
 
Back
Top Bottom