Miss Tanzania 2009 aswekwa rumande

M-bongotz

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
1,734
405
Habari nilizozipata punde kutoka mahakama ya hakimu mkazi Kinondoni zinasema kuwa mnyange wa Tanzania wa mwaka 2009 anayeshikilia taji leo amepandishwa kizimbani pamoja na mtu mwingine wa kiume anayesadikiwa kuwa boy friend wake kwa tuhuma za kupiga na kujeruhi wote wameshindwa kutimiza masharti ya dhamana na wametupwa lupango.
 
Dah,
kweli maswala ya ugomvi hayafai.
Leo ni ljumaa huyo kutoka ni hadi Jumatatu.

Kutoka jumatatu kwa kapuku wa vingunguti...lakini mrimbwende huyo usishangae kumuona bagamoyo wikiendi akila raha na pedeshee afu jumatatu alfajiri anarudishwa ukonga kwa ajiri ya kuletwa mahakama kwa dhamana rasmi!!

Haya huwa yanatokea sana, labda uwe mgeni jijini ndo utalala segerea mpaka jumatatu!!
 
Miss Tanzania 2009 ni Miriam Gerald!!

tanzania.jpg
 
miss tanzania na na mai boifrend wake walala segerea baada ya kukosa zamana mahakamani kinondoni</p>
 
hii inamaana anko lundenga ameshindwa kuwalea katika maadili hawa mamis au ni hulka yao, wanaliabisha taifa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom