M-bongotz
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 1,734
- 405
Habari nilizozipata punde kutoka mahakama ya hakimu mkazi Kinondoni zinasema kuwa mnyange wa Tanzania wa mwaka 2009 anayeshikilia taji leo amepandishwa kizimbani pamoja na mtu mwingine wa kiume anayesadikiwa kuwa boy friend wake kwa tuhuma za kupiga na kujeruhi wote wameshindwa kutimiza masharti ya dhamana na wametupwa lupango.