Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu na mama yake wahamia CHADEMA kutoka CCM

kipuyo

JF-Expert Member
Jul 30, 2009
1,744
2,000
ruth mollel alikuwa CCM akahamia CHADEMA mwezi mmoja kabla ya uchaguzi akapewa viti maalum....Makamanda wapigania chama mlifanya nini? Wema hata kesho akipewa ubunge wa viti maalum hakuna kamanda hata mmoja atanyanyua mdomo wake
Hiyo era ishapita dada, hatuendekezi ujuha!
 

Earthmover

JF-Expert Member
Sep 28, 2012
18,739
2,000
Mm na jamaa zangu wote huku mwanza hatuko ccm tena tulifanya kazi sana wakati wa kampeni kwa kujitolea hatukuhitaji hata mia ni mapenzi tuliyokuwa nayo kwa ccm na magufuli, lkn kwa yanayoendelea kwa anaejutambua lazima atachukua maamuzi, ubabe uonevu nk, pia kwa niaba ya wenzangu tunamshukuru sana aliyekuwa mkuu wa mkoa wa mwanza mh magessa mlongo ni mpambanaji sana alifanya kazi kubwa wakati wa kampeni. Mungu amsaidie sana na atamlipa
....
.....Ng'wabheja sana Ngika
 

kipuyo

JF-Expert Member
Jul 30, 2009
1,744
2,000
hahahah Mbowe akiamua kumpa Wema Sepetu hata ukatibu mkuu wa chama leo hakuna kamanda yoyote atafungua bakuli lake...CHADEMA ina wenyewe nyie wengine ni bendera fuata upepo tu
Dada tambua ya kuwa sisi ni makamanda wenye kuamua mustakabali wa chama chetu,
Viongozi wakitoka nje ya mrengo, watatusamehe manake wataondoka.

Dada sisi sio kama wewe ambaye umekosa uelekeo,
Ulimfuata lowassa, ulipoona hakuna tena hela ukajirudia CCM, kule nako umemkuta Mwenyekiti mpya hasomeki
Sasa sijui unasimamia wapi

Kajiunge na alshaabab mkaisimamishe East African Callifates
 

Complex

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
4,060
2,000
Duuh, ni mapema sana kusema nini kitakachojiri. Ila ngoja tuone hatima itakuwaje.
 

Chazy Mazela

Member
Nov 16, 2016
25
45
Cku zote mfa maji haishi kutapatapa,haya majambo tuliyakuta na tutayaacha so mm yangu macho naomba umri mref ili nijue mwaafaka
 

Rebeca 83

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
13,852
2,000
Wema ukawe active member,

sio ubaki 'alijiunga na chadema,lol

kwa ushawishi ulionao katika jamii,chadema wakikupa nafasi uta shine sana mamii
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom