Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu na mama yake wahamia CHADEMA kutoka CCM

Sasa ndo CCM wanatupaishaa. sisi tumewasubiria huku mitaaanii hawa wauza sembeeee. Maaana hawatajisafisha wawezeee hata kidogooo.
Chumvi haifai tena ila kutupwa inje na kukanyagwa na watuu.
Kwa sasa wanaitwa chama cha mafisadi na wauza sembeee
Haaaaa hhhaaaa. Ninaham mda wa uchaguzi ufike ilituwanyoshe kwenye uchaguzi wa serikari za mitaaa.
 
Chadema = ganja republic!

Wenzenu Wanaotuma Watu Mwezini Wanaruhusu Iuzwe Madukani

Nyie Wamatumbi Hata Plan Ya Viwanda Inawashinda Mnakataza Hata Kuvuta

Ndiyo Maana Wazungu Wanapanga Wakaishi Sayari Nyingine Kukimbia Matatizo Yenu

Hospitali Zenu 4 Za Rufaa Nchi Nzima Mnashindwa Kuweka Madawa Kwa Kushabikia Upuuzi
 
Povu tu ! Kwani kuna shida gani kwa WEMA and na hao uliowataja kukihama ccm?
Hakuna shida ya Wema kuhama CCM, tatizo lake alidhani akiwa CCM basi atakuwa juu ya sheria, asitegemee akiwa CCM anakuwa untouchable! Yeye asubiri kesi yake ya misokoto ya bangi iishe vzr ila akipoteza naona atarudi CCM kubembeleza.
 
Kweli watu wameitikia wito wa Rais wa kibana matumizi. Ingekuwa zama zile hii press confrence ingefanyika kwenye hotel ya hadhi ya nyota tano.

Sasa mtu mwenye dau la usd 200,000. Anaifanyia nyumbani na meza kuu hatuoni hata kagilasi kamaji ya kisimani.

Na washawasha!
Vp yule ambaye huwa anagawa pipi kwenye event zake pale nyumba kuu nae anajisomesha namba?
 
huyu anazani siasa ni kama vila anavyohamagama kutoka kwa diamond kwenye kwa mabwana wengine, shauri yake, kuwa mwana chadema ni sawa kama ndo kaamua hasa, ila angesubiri kwanza hili vumbi linalomtimkia litulie, alikuwa ana haraka gani? au ndo masharti aliyopewa ili apate utetezi wa huyo lisu?
 
18c67efddc20da3718fbc7e43e07cfee.jpg
 
Back
Top Bottom