Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu na mama yake wahamia CHADEMA kutoka CCM

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,596
2,000
Kama Lowasa na Genge lake ndani na nje ya nchi walishindwa kuitikisa CCM aje kuwa Wema Sepetu kweli? Kingunge ambaye anasema alikuwa na kadi namba 8 ya CCM walishindwa kuiangusha CCM ije kuwa Wema Sepetu na Mama yake?

Leo ndiyo nimeamini kwamba chadema inaongozwa na less intelligent people, Mzee Mtei tafadhali pigania jasho lako, pigania Chama ulichokianzisha, ...
 

bdo

JF-Expert Member
Nov 20, 2006
5,812
2,000
Wewe unayo impact yoyote kwa jamii hapo ulipo..nanni anakujua nchi hii likitamka jina lako nani atakufahamu..
tanzania kuna watu zaidi ya milion 20 wnaaoutumia simu zenye uwezo wa internet...nusu yao yaani milion 10 tuseme wako katika mitandao ya kijamii yote unayoijua wewe, nusu yao yaani milion 5 wamejiunga mtandao wa kijamii unaojulikana ulimwenguni kote wa instagram...wema sepetu ana watu zaidi ya milioni 2 na ushee wanaomfuatilia katika mtandao huo. Pengine ni nusu ya wakaaz wa dar es salaam..haya mkuu niambie wewe una impact gani katika nchi hii.
Sio wote 2m wanaomfuatilia wanakubaliana na mambo yake kwa 100%, hana command kwao. Wengine tunamfutilia tupenda kuona papuchi yake. Ila hakika Wema ameruka mavi.

Na hii kesi yake ya misokoto ya bangi, atapigwa miezi 6 tu basi, ndio itakuwa jumla, akitoka tu huko anarudi tena CCM .
 

Hon Nkundwe

JF-Expert Member
Nov 30, 2014
3,763
2,000
fbc227812bef2c2bdf11c6881f4d1170.jpg
 

kenstar

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
2,279
2,000
Ila angetulia kwanza amalize ishu za mahakama na asome upepo kisha afanye maamuzi sasa ugomvi wake sio na ccm bali na baadhi ya MTU mmoja tu wa ccm,usifanye maamuzi ukiwa na hasira.
 

Chige

JF-Expert Member
Dec 20, 2008
12,717
2,000
good riddance. ccm haihitaji watu wa unga halafu wanategemea kulindwa na chama eti kwa vile wamesaidia kampeni. ccm ya jpm haihitaji wasanii fisadi ila inahitaji wasanii kioo cha jamii. wametoka ccm edward lowassa kingunge ngombale mwiru sumaye na wale nyumbu wakubwa kina hamisi mgeja na msindai et al ndio wema sepeku? juzi tumesikia kuwadi mmoja akiongea kuhusu hela watakayopata kwa kumuuza wema chadema..shame on them.
Tatizo ni kwamba tunaona wengine wakilindwa! Wananunua boti kwa mabilioni ya pesa lakini kabla haijaanza kutumika inaonekana fake na hivyo ili kulinda wahusika inahamishiwa jeshini!!

Sasa ikiwa hao wanalindwa; kwanini na sie wengine tusilindwe?! Huo ni uonevu na ubaguzi....
 

Earthmover

JF-Expert Member
Sep 28, 2012
18,739
2,000
wema atafungwa kwa mdomo wake na kuhamia upinzani wakati kesi mbichi,hajui kusoma alama za nyakati,angesubiri kesi ya msingi inayomkabili imalizike ndo afanye counter attack,mnaomshauri shauri yake dont say i didnt warn you
.....
.....Wema sio mwoga kama wewe Kamanda haogopi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom