Miss Shinyanga yafana mbaya

Bahimba

JF-Expert Member
May 8, 2013
510
346
Habari zenu wakuu, awali ya yote nianze kwa kuwapa pole wale wote ambao kwa namna yeyote ile hawakuifurahia weekend ambayo tumeianza jana. kwa hapa kwetu jana weekend tumeianza uyema jwa kumpata mkimbwende wa mkoa, kiukweli shindano lilifana sana sambamba na show kabambe ya msanii wa kizazi kipya AT. changamoto kubwa kwa shy ktk tasnia xa burudani ni kumbi, hatuna kumbi, naomba wadau wa burudani nchini njooni shy mjenge kumbi, NAWAKILISHA.
 
hakuna msukuma anayeweza kuwa miss.
hakuna. labda mwallu tu!!!
 
Last edited by a moderator:
Nilikua najua wasukuma ni watu wa kazi na kubeba mizigo mizito kumbe na warembo wapo !!!! KWANINI NILIWAHI KUOA ????
 
Back
Top Bottom