Miss Redds Fashion Ambassador 2008 Mwanza

Mgoyangi

Senior Member
Feb 6, 2008
184
9
Miss Redds Fashion Ambassador anasakwa kesho Jumamosi kuanzia saa 3.45 usiku na Star Tv ndicho kituo kilichoteuliwa kwa ajili ya kurusha Matangazo haya.

Ni tukio jingine la kuangalia ulimwende wa Kiafrika wenye sifa za wazungu. Tumeyakubali, tumeyazoea na inatulazimu kuyafurahia.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom