Miss Puerto Rico atwaa taji la Miss World 2016

mtotomtamuu

JF-Expert Member
Dec 4, 2016
602
1,454
Puerto Rico yatwaa taji Miss World 2016, Dominican
Republic yashika nafasi ya pili na Indonesia nafasi ya 3.
kenya na Philipines zaingia top 5
1482104650324.jpg
 
Wewe INGENJA mashindano ya Ulimbwende, Mkia sio ishu.

Wana vigezo vyao.

Kama unategemea uletewe picha aonekane kwa nyuma ili utathmini Chura, ujue imekula kwako
 
bi
Wewe INGENJA mashindano ya Ulimbwende, Mkia sio ishu.

Wana vigezo vyao.

Kama unategemea uletewe picha aonekane kwa nyuma ili utathmini Chura, ujue imekula kwako
binafsi naomba msaada huo nilinganishe na dada chausiku wa mtaani kwetu
 
wetu kawa wa ngapi? Maana tuwe wakweli mavazi ya huyo binti sikuwa nayaelewa hata kidogo.
 
kwahiyo unatakunambia kuwa kwenye kanga moko tunaohuzulia sisi ni mafala sindio!!:p:p:D:D:p
Chondechonde Kiongozi.

Hofu yangu Kurogwa tafadhali.

Usimuite huyo Mtaalamu.

Sirudii tena, nakiri kosa.

Kwa mara nyingine tena,

Sirudii tena
 
Back
Top Bottom