"Miss jf 2012" Kura yako ni muhimu sana.

Unanifanya nifikirie tukae kikao cha kifamilia!
Unanadije hapa public kwamba hana hata kizygote ?
Hizi mashuti unazopiga kila siku unamaana una'shoot pembeni ya goli ?
Au ?
Huu muda ni wa mashuti tu hakuna kulenga goli siunajua mshindi akipatikana game linaisha?
Ngoja kwanza kijana nile maraha ya kutosha na Binti Kigori a.k.a Amyner Kipotabo
 
Unanifanya nifikirie tukae kikao cha kifamilia!
Unanadije hapa public kwamba hana hata kizygote ?
Hizi mashuti unazopiga kila siku unamaana una'shoot pembeni ya goli ?
Au ?

Amyner huwa anadaka mashuti yote lol......chezeiya mutoto ya mujini weye!
 
Hahahahahahahahaha!!!!!!!!.......naona umeamua kushirikiana na klorokwini kunimaliza kwa vicheko lol.......mbwa kapigwa jiwe lolest.......nilidhani klorokwini peke yake ndie amepinda kumbe hata wewe tehe tehe.
Hahahahaaaaa klorokwini noma ila siku hizi naona walau tangu awe nyumba ndogo yako kaanza kutulia sijui umewaambia atakayekuwa anawahi nyumbani ndio anapata cha usiku maana huwa yuko hm tangu saa nane wakati kazini anatakiwa kutika saa 10 jioni lol
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom