MISS CHICHAT DECEMBE 2012:Hatua ya kwanza,pendekeza/tupia jina nani kuwania taji

Ruhazwe JR

JF-Expert Member
Jan 31, 2011
3,403
920
Habhari yenu bhana,wana chitchat.

Ni kwa mara nyingine tunawadia katika zile pilikapilika na shamlashamla za kumsaka miss chitchat wa kila mwezi.nikukumbushe tu kuwa shindano hili lilianza mwezi aug 2012 ambapo tulimweza kuwapata mamiss ambao napendakuwapa heshima ya kuwa taja majina kwenye mtililiko ufuatao:-
  1. Mwezi Aug - Miss cacico
  2. mwezi Sept - Miss Remmy
  3. Mwezi oct - Miss Madame B
  4. mwezi Nove - Miss Ciello

Kwa mara nyingine tunaelekea kumchagua Miss chitchat wa mwezi December,ambapo tunaaza hatua ya kwanza kwa members wa Jf kutupia majina ambalo unazani anafaa kupeperusha bendera ya U-miss Chitchit mwezi Dec Baadaya Miss Ciello kumaliza muda wake.Kama kwawa kama dawa tunatafuta majina kumi ambayo yataenda kuchuana katika nusu fainaly tarehe 29 saa kumi kamili jion katk makundi na wanne kuingia fainaily tarehe 30 na mshindi kupatangazwa terehe 02dec saa tatu kamili usiku.

hata hivyo imetolewa nafasi ya upendeleo kwa mshiriki mmoja amabaye amekua akishiriki katika vipindi vyote vilivyo pita,amepewa heshima ya kuingia moja kwa moja nusu fainally naye si mwingine ni charminglady.

ufafanuzi wa zawadi na maelezo ya kina yatapatikana kwenye thread itakayo kuwa inaendesha mchuanao wa nusu fainaly.

NAWASILISHA
 
Last edited by a moderator:
Duh mshapata mshindi tayari???

Mshindi wa yupi Ciello? alafu upo mabali na hii kitu wakati wewe unatakiwa ujiandae kukabizi taji,tupia jina bwana,alafu ukimaliza unajiaanda kwenye mashindano ya mamiss wa mwaka ambapo tutakutanisha mamiss wote ili kumpata miss wa mwaka 2013 atakaye jinyakulia elfu 30 za muda wa maongzi na elfu 20 atalipiwa mchango wa kuchangia JF
 
Last edited by a moderator:
Ule utaratibu ulokuwa umepangwa awali wa kumpata MISS CC wa mwaka kutokana na wale washindi wa miezi ilopita . . . .umevurugika?
Mbona tunapendekeza wengine tena?

Naomba unielewevizuri Kipipi.
Iko hivi, tuna mamiss wa mwezi wa Aug,Sept,Oct,Nov lakini hatuna miss wa Dec.sasa basi tunamtafuta miss wa dec ili ifikapo tarhe 20dec tunawaonganisha mamiss wote wanachuana kwa njia ya poll system,ili kumpata miss wa mwaka 2013.unaswali?
 
Last edited by a moderator:
Mie nimestaafu umri hauruhusu ntawasapot mabinti....
Mshindi wa yupi Ciello? alafu upo mabali na hii kitu wakati wewe unatakiwa ujiandae kukabizi taji,tupia jina bwana,alafu ukimaliza unajiaanda kwenye mashindano ya mamiss wa mwaka ambapo tutakutanisha mamiss wote ili kumpata miss wa mwaka 2013 atakaye jinyakulia elfu 30 za muda wa maongzi na elfu 20 atalipiwa mchango wa kuchangia JF
 
Last edited by a moderator:
Naomba unielewevizuri Kipipi.
Iko hivi, tuna mamiss wa mwezi wa Aug,Sept,Oct,Nov lakini hatuna miss wa Dec.sasa basi tunamtafuta miss wa dec ili ifikapo tarhe 20dec tunawaonganisha mamiss wote wanachuana kwa njia ya poll system,ili kumpata miss wa mwaka 2013.unaswali?

Ahaaa . . . . ivoo!!!
Basi poa!
 
Back
Top Bottom