MIss Botswana awa wa pili Miss World.

Indume Yene

Platinum Member
Mar 17, 2008
2,944
703
Mrembo wa Botswana (Miss Botswana) Emma Wareus ameibuka kuwa mshindi wa pili kwenye mashindano ya kumtafuta Miss World. Nafasi ya kwanza imechukuliwa na binti mdogo kutoka Marekani (Miss US) aitwaye Alexandria Mills mwenye umri wa miaka 18.

Mwakilishi wetu Genevieve Mpangala chali, hakuweza hata kuingia top 25.

Hongera Botswana kwa nafasi hiyo.
 
Hongera yake, ameibeba Africa kwa kweliiiiiiiiiiiiiiiiiii.:yield::yield: duh sijui aliwasiliana na CHADEMA
 
Sioni kama akina lundenga wana vision. Wao wanakimbilia kutoa zawadi ya magari bila kuangalia IQ ya mrembo. Nadhani inabidi tuondoe kabisa wizara ya michezo hakuna kitu kinafanyika. Nini kazi ya waziri wa michezo TZ?????Tujitoe michezo yote ili tujiandae vyema. Angalia hata kukimbia watu hawajaenda shule akina nyambui ndo viongozi wakuu hata lugha hakuna.
 
the girl is so cute full of confidence but wadau wa warembo walimtabiri kwamba ata
shinda
 
kuna mwenye picha ya/za ke tumuone?


Picha hizo hapo

attachment.php


Botswana+-+Emma+Wareus.jpg


Botswana+-+Emma+Wareus-5.jpg
 

Attachments

  • 002.jpg
    002.jpg
    43.1 KB · Views: 313
jamani tumezidi kuwa ni watu wa longolongo tu hakuna vitendo.siku hizi nchi hii viongozi walio serious ni wa kuhesabu.masuala ya urembo ni muhimu sana na wala si ya kihuni. yangepewa kipaumbele sana ili tuuze nchi yetu huko ulaya. sasa tunashindwa hata mbio... aibuuuuuuu tanzania:A S angry::A S angry:
 
kitu kweli kweli lakini hivi vitoto siku hizi naona headache tuu.....uzee na njaa ni tabu mbaya sana.
 
Huyu Miss Botswana ana caucasian features kibao hata nadhani yeye ni chotara.

Ingekuwa jambo la muhimu kama organizers wa beauty pageants wangeanza ku-value wasichana ambao ni wa asili ya Kiafrika 100%.
 
duu hivi ukimpata miss kama huyu ingawa mrembo analadha kwenye maana naona anamifupa tuu na kwenye mabega yake unaweza ukamimina maji ndoo ikaishia hapo
 
duu hivi ukimpata miss kama huyu ingawa mrembo analadha kwenye maana naona anamifupa tuu na kwenye mabega yake unaweza ukamimina maji ndoo ikaishia hapo

Jmangi Haya ni Mashindano ya Urembo Siyo Uzuri wala Unene ...Binti ni mrembo kweli kweli

Halafu Usiwaze Ngono Ngono Ngono tuuuutuuuuuuuuu Kila Mara... Mtazame kwa Macho ya Ku appreciate Urembo wake na Siyo Macho ya Ufataki!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom