Misri wapanda chati

Ng'wanza Madaso

JF-Expert Member
Oct 21, 2008
2,268
333
Misri wapanda chati

Mabingwa wa soka barani Afrika, Misri wamepanda ngazi katika orodha ya kumi bora ya shirikisho la kandanda la mataifa FIFA.

Kutokana na orodha iliyotolewa leo, Misri ndio timu inayoongoza kutoka Afrika ikishikilia nafasi ya 10.

Hii ndio nafasi ya juu kabisa kushikiliwa na timu ya Afrika tangu mwaka 1994 ambapo Nigeria ilishikilia nafasi ya tano.

Nigeria pia imepanda na inashiklia nafasi ya 15 duniani na ndio ya pili katika timu bora za Afrika.

Source:BBC
 
Nilidhani Ghana ambayo ilicheza kwenye Fainal ndiyo ilistahili kuwa ya pili kwa nchi za Afrika. Hii ranking ya FIFA naona haijakaa sawa.
 
Nilidhani Ghana ambayo ilicheza kwenye Fainal ndiyo ilistahili kuwa ya pili kwa nchi za Afrika. Hii ranking ya FIFA naona haijakaa sawa.
Hapo hata mimi pamenichanganya sana, kwa kiwango ambacho Nigeria wali qualify kucheza World cup wakabana mbavu, African Cup Of Nations hawakfika pale tulipotarajia,lakini FIFA wanazidi kuwapa rank ya pili Africa hii hainiingii akilini,ndo kusema kwa soka la Nigeria na Ivory Coast wapi ni bora zaidi?
 
Egypt has become the first country to win the African Cup of Nations three times in a row. It has also extended its record of winning its Seventh title.
Egypt, unbeaten in their last 19 Nations Cup games.

best attack, scoring 15 goals
best defense, conceding only 2 goals
best player- Ahmed Hassan
best goalkeeper- El Hadary
best goalscorer- Gedo
best defender- Wael Gomaa

Egypt beat four countries representing Africa in WC
Egypt 3-1 Nigeria
Egypt 3-1 Cameroon
Egypt 4-0 Algeria
Egypt 1-0 Ghana
Egypt scored a total of 11 goals against those above-mentioned four African representatives in the World Cup, conceding only 2.
Tunisia didn't meet the Pharaos, and South Africa did not even qualify for ACN Angola 2010.

In total, Egypt played 6 matches and won all of them.
-------
Let's hope that our representatives in the World Cup 2010 improve, otherwise...
 
Back
Top Bottom