Misri bingwa mara ya tatu-can

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,778
Timu ya misri imeweza kuwafunga ghana
na kuchukua kombe kwa mara ya tatu mfululizo
alikuwa ni hassan.a aliewanyanyua wamisri vitini
na huku nchini misri watu wakirindima.ilikuwa ni uzembe wa beki za ghana kuwasindikiza washambuliaji wa misri na kufanikiwa kupata ushindi hata hivyo ghana imejitahidi kwa kucheza vizuri
kila la kheri misri
 
Hamishia hii thread kwenye jukwaa la michezo. Nilitamani zaidi washinde Ghana.
 
Back
Top Bottom