Misingi ya kuwalinda watoto dhidi ya mapenzi ya jinsia moja.

Kimbori

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
5,445
3,201
Janga la mahusiano ya kimapenzi baina ya watu wa jinsia moja ni changamoto kubwa sana katika malezi ya watoto. Kwa kiasi kikubwa mahusiano ya jinsia moja huchangiwa na sababu za kimazingira pamoja na chaguo la mtu husika. Japokuwa, kwa kiasi kidogo aina hii potofu ya mahusiano huchangiwa na sababu za kibailojia.
Hali hii ilikuwa tangu hata kabla ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo. Yote kwa yote, ni lazima kupambana na hali hii na kuishinda.
Misingi ifuatayo yafaa kutumiwa na wazazi, walezi na jammi nzima.

1. Kuwalinda watoto dhidi ya unyanyasaji wa kijinsia.
Wazazi na walezi wanapaswa, kwa nguvu zao zote, kuhakikisha usalama wa watoto. Kuwalinda watoto wasitendewe unyama dhidi ya jinsia zao kama ubakaji na ulawiti.

Kwa mfano, mtoto wa kike alioyebakwa hujenga chuki dhidi ya wanaume, hivyo hukuwa na chuki na hasira dhidi ya mwanaume yeyote hata atakapokuwa mkubwa. Kutokana na chuki dhidi ya wanaume, mtoto huyo huimarisha mahusiano hususani ya kimapenzi dhidi ya msichana mwenye chuki ya wanaume kama alivyo yeye. Lengo la kufanya hivyo ni kutaka kutimiza mahitaji yao ya kimapenzi.
Unyanyasaji mkubwa wakijinsia hufanyika majumbani;
unyanyasaji wa kijinsia hufanywa na watu wanaoheshimika kama baba waboba mdogo, shangazi, binamu, mfadhili n.k. Hivyo, wazazi na walezi wanapaswa kuwa makini na watu wanaoishi na kuwalea watoto.

Kwa misingi mingine mitano, tembelea www.wilguy-jibebe.blogspot.com.
Tushirikiane katika kujenga mustakabali wetu. Naomba kuwakilisha.
 
Back
Top Bottom