Misingi ya cdm ndiyo itakayo ifanya chadema kuwa imara na si uafuasi wa watu.

Kurunzi

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
9,236
9,841
Kwa wafuataliji wa siasa za Tanzania toka tumeingia kwenye mfumo wa vyama vingi. CDM ndicho chama ambacho niliona kilijikita katika kujenga msingi ya kitaasisi na hilo lisisitizwa sana na viongozi wake nakumbuka hata Nape alisifu mfumo wa kitasisi ulipo CDM baada ya kuhudhuria kikao cha CDM wakati wa mkutano mkuu 2009.
Kunachangamoto zake kukijenga chama kitaasisi kwani baadhi ya watu huenda wakapitia mlango huo kwa hila na fedha za kuhongwa wakakivuruga CDM wakidai ni wema sana na wanaweza kukifanya CDM kuwa chama cha kitaasisi na kidemocrasia zaidi ingawa hilo sitatizo lakini tujiulize kwanini utumie njia za kimaficho na kukashifu walipo madarakani huoni kuwa hata mkishika usukani mtakuwa ni watu wa kisasi na manundi na mbaya zaidi mtajenga chama cha wafuasi badala ya chama cha wafuata misingi kama tunavyoona jitihada za zitto kutumia pesa kuandaa maandamano ya vijana kila kona anapata wapi hela? . Nibora waondoke tubaki wanachama wa kufuata misingi ya chama ili hata kama
Mbowe na Slaa wakiondoka
 
Ni kweli kwa mtazamo hili suala la zitto halina faida pande zote zaidi ya hasara kwake yeye mwenyewe na wafuasi wake limemmaliza kisiasa namshauri akaitumikie taaluma yake siasa kwishney
 
Hata mwenyewe amelisema anataka akafundishe Cho kikuu na hataki siasa tena! Namshauri afuatilie msimamo huo kwani kwa kweli, keshaisha!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom