Misimamo ya wazanzibar ilivuruga katiba mpya siyo Sitta!

Tatizo lilitokea pale watu walipoitwa tena kwenda kutoa maoni Dodoma wakati tayari walishatoa kwenye tume ya Warioba.
 
alisimamia kuitupa katiba ya wananchi na kuanzisha ya kwake na akina chenge, ukweli utabaki pale pale hata kama ametangulia mbele ya haki. RIP Mzee Sita.
 
Alijua anachofanya kuwa ni usaliti kwa watanzania ila tamaa ya fedha ilimzidi...
 
Kufa ni wajibu..binadamu hawana wajibu wa kujipendekeza mtu anapofariki maana wote tunaenda kule kule..

Hivyo basi,kwa alichotufanya kwenye katiba huyu mzee,namlaumu kisawasawa kama nilivyokua namlaumu alipokua mzima the same way...hakutufaa hata kidogo
 
Kuna wakati alilazimisha akidi itimie ili kuwaridhisha wajumbe wengi wa CCM ,

na akasema ata wale wajumbe walioko Hijja watapiga kura wakiwa huko huko,

hii yote ni kuwafurahisha watawala, acheni Mungu aitwe Mungu.
 
Huo ndio ukweli hutaki unaacha.RIP mzee Samwel

Nakukumbushia ile kauli yake AKIWA MWENYEKITI WA BUNGE LA KATIBA. " Hata kama kura hazitoshi basi zitatoshelezwa". Naam ni kweli zilitoshelezwa maana hata marehemu mama yake Zito (akìwa maiti) alipiga kura! come on man!
 
Eee, tunaweza kuianzisha tena halafu arudie kuwa mwenyekiti itakuwa kiama ya watanzania "walio wengi"
 
Back
Top Bottom