Mwene chungu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 915
- 752
Nimeskia kuwa eti Sophia simba na wenzake wamevuliwa uanachama kwa kile kinachodaia kuwa walisaliti Chama.
Niseme tu kitu kimoja,najua kuwa Magufuli ndie mwenyekiti wa ccm kwa sasa,na maamzi haya yote yanainfluence yake,ukizungatia kuwa alishawahi kuskika alisema hata hapo kabla kuwa watafukuza aliowaita wasaliti..
Ila mimi kama mwanaccm sjakubaliana na maamzi ya kuwavua uanachama watu ambao pamoha na kuwa walitoa misimamo yao lakini baadae waliendelea kukijenga chama,na hata wakati wa uchaguzi mtu kama Nchimbi na wengine walisaidia hata kumpigia kampeni rais Magufuli.
Wakati wa kura za maoni ccm kulikuwa upinzani mkubwa ndani ya chama chetu,na kuibuka kwa watu kutokubaliana na mgombea mmoja ilikuwa ni jambo lisilokwepeka...na huu mim siouoni kama ni usaliti,tungewaita wasaliti kama tu walitoa taarifa fulani kwa maadui zetu...lakini kusimamia walichoamini ni haki mimi nahisi wameonewa..
Kama haitoshi karbu 80% ya wajumbe wa kamati walionesha kuwa na imani na Lowasa na waliimba nyimbo hadharani yanini leo kumchinja mtu mmoja au wawili? Haki iko wapi? ,Nchinbi alisimama hadharani kutetea alichoamini ni sahihi..lakini mnasema kapewa onyo..mim naona kama ku double standard katika kutekeleza haki ndani ya chama.
Au tumeona kuwatoa wale ambao tunajua hawana impact kwa jamii?
Lakini bila msuguano ule Magufuli angepata urais?...mim naamini kusuguana kule ndiko kuliko pelekea rais Magufuli apatikane...
Kutofautiana kimaamzi ndani ya chama kamwe hakuwezi kuisha,hata kama tukibaki 20,au 10 kama wajumbe wa kamati kuu....kama ni kuvuana madaraka juu ya hili nahisi kuna tatizo...binfsi sjakubaliana kama mtaweza nivueni pia...