hapo umemmaliza, ajaumauma, na ikibidi na matusi but not a concrete answerTunataka Qur'an itoe majibu ya chanjo na dawa za kutibu Corona full stop
hapo umemmaliza, ajaumauma, na ikibidi na matusi but not a concrete answerTunataka Qur'an itoe majibu ya chanjo na dawa za kutibu Corona full stop
Uko sawa kabisa!Naam ndio maana siwezi kukubali huo upumbavu
Alafu mkuu unakakiwa ujue kuna utofauti wa Religion, faith/believes na spirituality.... watu wengi mmekuwa mkivichanganya hv vitu mkidhani ni kitu kimoja. Sasa kabla hujamuuliza mtu swali km hyo inakupasa ujue kutofautisha hayo maeneo matatu!!!Kwani katika imani yako wewe unafundishwa nini?
Ni upumbavu tu wa watu wasiojilewa unakuta jitu Zima limekaa eti linaamini muhamadi alipaa akaenda mbinguni kukabidhiwa swala 5 ... Ukimuambia thibitisha anabaki anatoa toa macho tuDini zote mifumo ya uendeshaji ni ile ile tu... watu wanashindwa kuelewa dini ni taasisi hakuna taasisi inajiendesha kwa hasara...!!! U
Alafu kinachoniuma hawa watu weupe waliotuletea dini hawatupendi sana lkn sisi kutwa kujifananisha na wao...!!! Unakuta unaambiwa jina la kwako la kiasili mfn ngonyani halina baraka limelaaniwa lkn jina la emmanuel, joseph , mariam, muhammad, aisha, yusufu ndio yamebarikiwa na sisi tusivyokuwa na akili tunaamin ni kweli ila hutakuta mzungu pale london anajiita kimweli au mwarbu saudia anajiita kimario yani ni utumwa tu umetutawala alufu tunatakaka tuendelee km nchi za ng'ambo
watanza kuzunguka zunguka Kama ilivyo kawaida yao ..Yaani unamuuliza mtu swali badala ya kujibu anaanza kuhubiri nadharia nyinginehapo umemmaliza, ajaumauma, na ikibidi na matusi but not a concrete answer
AsanteUko sawa kabisa!
kumbe wanatumia chanjo ya mmarekani Mimi nilidhania kwamba wanatumia chanjo ambayo waliigundua wao wenyewe kwa kutumia mashekhe wao waliogundua dawa kutoka katika Qur'an itoshe tu kusema kwamba hizi dini Ni wizi mtupu katika nyakati Kama hizi ambazo ni nyakati ngumu kwa dunia hizi dini ndio zilipaswa kuja na majibu (suluhisho ) la matatizo yaliyopo na sio kukaa kusubiri tafiti za kisayansi ziwapatie dawa wao na waumini wao hizi dini Ni scam Ni utapeli mkubwa Sana kuwahi kutokea dunianiHii ni moja tu ya story mlizoskia kuhusu kufungwa kwa miskiti huko,lakin msikiti mkubwa wa nchi hiyo ushawahi kufungwa,hijjah ilisitishwa na miskiti mingi kufungwa.Hi ni moja ya strategies ambazo zimekuwa zikiendelea toka hii pandemic ianze,na pia kuna plan in action ndo maana wanaweza ku react kama kufunga miskit michache mda wowote sababu wana monitor. Watu wanapimwa ndo maana kesi zinajulikana haraka. Nchi nyingi zinazojielewa na kushughulika makini na hii pandemic wana 'plan of action' ili kufuatilia maambukizi mapya au 'new strains', uk kwa mfano washawahi kufunga maeneo baada ya kugundulika south African strain baadae wakafungua,kwa hiyo walivofanya wa saudi ni 'veryyyyy normal' kipindi hiki.
Kwa kuongezea Kingdom of Saudi Arabia washaanza kutoa chanjo ya Pfizer kwa watu wake mda sasa na wanashirikiana na taasisi za kimataifa kupambana na janga hili.
Sijakuelewa,wewe unaamini kwa fact au hauamini kabisa?Imani Ni suala linalo taka uamini kitu au Jambo bila fact Wala logic ...so Mimi siwezi kufuata huo mkumbo kwa sababu Ni wajinga tu na wapumbavu ndio wanaoweza kuamini kitu / jambo bila fact Wala mantiki
Mfano ukiambiwa yunusi alinezwa na samaki halafu alitoka tumboni kwa samaki akiwa mzima Basi uamini tu bila logic wakati hicho Ni kitu Ambacho hakiwezekani
Poor you 'unapotumia majina ya asili ya jamii ya watu wengine unauwa utamaduni wako Unapoteza historia ya taifa lako na kizazi Chako kizazi kijacho kikija kitakosa history Bora kuhusu taifa lenu na kitashindwa kujivunia Jambo lolote lile toka ktk taifa husika ... Unapoilinda history ya nchi yako na utamaduni wako unakuwa umefanikiwa kuulinda uchumi wa nchi yako na Rasilimali zake pia au haya hauyafahamu unataka tuanze kukupa darasaKitu kuwa cha asili haina maana ndio ni sahihi au lazima utumie,mababu zetu katika kipindi chao walikuwa na majina yao wenyewe wakiitana ni jambo la kawaida hakuna cha ajabu kwenye majina ya watu si kwao wala hao waarabu na wazungu,kama hao wazungu majina yao unakuta yana asili tofauti tofauti ila sio issue kwao ila sie tumekazana kulilia majina yetu asili kana kwamba sijui yana maajabu gani. Chengine unakuta tunazikosoa din za waarabu na wazungu ila hizo dini/imani tunazoita za asili hatuzikosoi yani tumezikubali tu kwa kigezo ni za asili kwamba za mababu zetu hatuna haja ya kujua hao mababu zetu walizipata vp hizo imani na usahihi wake ni upi.
Mimi natumia fact situmii imaniSijakuelewa,wewe unaamini kwa fact au hauamini kabisa?
Mkuu labda nkufahamishi mm n miongoni wanao operate ktk medical field so najua ethics za medical znataka nn...!!! Shida mifumo ya kiafrika inaendwa kitumwa inashia kuamini tu hataki kuhoji wenzetu nchi za nje mfumo upo hvyo.Hayo unayoyaeleza ndio huwa unafanya kila ukienda hospitali kwamba yanawezekana kiuhalisia au unaeleza kinadharia?
Marekani nayo ni nchi ambayo kuna watu wa dini mbalimbali hata rais wa nchi hutakiwa kuapa na huwa wanatumia vitabu vya dini zao.kumbe wanatumia chanjo ya mmarekani Mimi nilidhania kwamba wanatumia chanjo ambayo waliigundua wao wenyewe kwa kutumia mashekhe wao waliogundua dawa kutoka katika Qur'an itoshe tu kusema kwamba hizi dini Ni wizi mtupu katika nyakati Kama hizi ambazo ni nyakati ngumu kwa dunia hizi dini ndio zilipaswa kuja na majibu (suluhisho ) la matatizo yaliyopo na sio kukaa kusubiri tafiti za kisayansi ziwapatie dawa wao na waumini wao hizi dini Ni scam Ni utapeli mkubwa Sana kuwahi kutokea duniani
Na hapa ndio shida inapoanzia...Sasa hapo mtu anawezaje kuthibitisha kitu kisicho na ushahidi?Def: ya Imani: Imani ni kukiri kwa dhati isiyo na shaka kuwa jambo fulani ni la kweli, kweli kabisa kabisa bila ushahidi wa kisayansi
Ndio umeongea Nini Sasa hapa upo sawa kweli wewe upstairsMarekani nayo ni nchi ambayo kuna watu wa dini mbalimbali hata rais wa nchi hutakiwa kuapa na huwa wanatumia vitabu vya dini zao.
Mimi nazungumzia kuhoji sio kushirikishwa kuhusu kushirikishwa mbona sio tatizo tunashirikishwa,mimi nazungumzia kuhoji usahihi wa vipimo walichokupima pamoja na maelezo ya Daktari.Mkuu labda nkufahamishi mm n miongoni wanao operate ktk medical field so najua ethics za medical znataka nn...!!! Shida mifumo ya kiafrika inaendwa kitumwa inashia kuamini tu hataki kuhoji wenzetu nchi za nje mfumo upo hvyo.
Ni haki yako!!! Dr anatakiwa akieleze kutoka namaelezo uliyonipa nahic inawezekana utakuwa natatizo hili au hili au hili hvyo nashauri naomba tufanye vipimo hv... ww ndio wa kuamua dr anatakiwa akushirikishe kila kitu kuhusu afya yko hana haki ya kuchukua kipimo bila ww kujua au ridhaa yko... akifanya hvyo bila ww kutoa ridhaa yako au kukushirikisha una haki ya kumfungulia mashtaka!!! Sema kiafrika ndio hvyo mfumo wa kuamini bila kuohoji tunamuona dr nae km yehova a
Mungu anataka wamuambudu... Watu wa mungu wanakutana kwenye nyumba za ibada kumubudu Mungu lkn Mungu huyo huyu tena analeta gonjwa la corona ambalo linawafanya watu wasikusanyike kwa ajili ya kumuabudu.wanasubiri nini kumuomba Mungu was awaepushe na Hilo janga?
Mkiambiwa dini Ni janja janja mnakataa
Hv mkuu unasoma kwa makini nnachokiandika.. nimesema ndio ni haki yangu kuhoji!!! Sasa km ww hauoji shauri ykoMimi nazungumzia kuhoji sio kushirikishwa kuhusu kushirikishwa mbona sio tatizo tunashirikishwa,mimi nazungumzia kuhoji usahihi wa vipimo walichokupima pamoja na maelezo ya Daktari.
Kwa sababu hakuna watu wanaoaminiwa kama madktari na hii duniani kote.
Kama wakristo tutaruhusiwa kuchangia. Bible inasema Mungu analinda watu wake ila haijasema analinda watu. Watu wa Mungu ni wapi? Bible inasema ni wale wanaoshika maneno yake wakati wote. Sas Mungu watu wake naamin bado anawalinda mpaka kesho ukitaka kishuhidia acha dhambi is as simple as that. Kumbuka sodoma na gomora Loth alimuacha mke wake akageuka jiwe la chumvi kwa sababu ya ukaidi ndo iwe watu wenye dhambi leo hii.Kuwa taka watu watafute tiba hata wewe ukiwa na mamlaka ya uongozi Ni lazima utawataka wasaidizi wako watafute suluhisho la matatizo yanayo izunguka jamii yako '' Mimi nilidhani muhamad na wasaidizi wake tayari walisha fanikiwa kutupatia majibu ya magonjwa yaliyopo wakati Huo na hata Yale ambayo yananitokeza Sasa kiasi kwamba tukifikwa tu na magonjwa fulani tunafunua Qur'an tunafanya tafiti na kuja na majibu ya dawa au Kinga zitakazo weza kuwaponya walimwengu badala yake kumbe na yeye alitoa maagizo tu Kama jinsi ambavyo huwa anafanya jiwe halafu maagizo hayo mwisho wa siku hayaleti impact yoyote ile katika jamiii sheeeesh!!!!
Mkuu kuwa kondoo ni hasara kuliko kitu chochote hapa dunia nimesoma maelezo ya jamaa yanasikitisha kwa kweli. Anajutukana hadharani kabisa eti majina yetu ya asili yanafaida gani... sasa naanza kuelewa kwann Magufuli anataka kuanzishwe somo la historia ya tanzania.. Daah inasikitishaPoor you 'unapotumia majina ya asili ya jamii ya watu wengine unauwa utamaduni wako Unapoteza historia ya taifa lako na kizazi Chako kizazi kijacho kikija kitakosa history Bora kuhusu taifa lenu na kitashindwa kujivunia Jambo lolote lile toka ktk taifa husika ... Unapoilinda history ya nchi yako na utamaduni wako unakuwa umefanikiwa kuulinda uchumi wa nchi yako na Rasilimali zake pia au haya hauyafahamu unataka tuanze kukupa darasa