Misikiti mitano yafungwa Saudia baada ya waumini 7 kukutwa na Corona

UHURU JR

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
10,814
2,000
Hapana, si mimi ninayesema hivyo, hiyo ni logical consistency.

Unaelewa kwamba ninachoandika hapa si ninachotaka mimi, bali ni suala la logical consistency?

Unaikubali logical consistency au unaikataa?

Hujajibu maswali.

Ama huelewi mambo ya msingi kabisa. Ni mjinga.

Ama unaelewa unajifanya mjinga. Ni mshenzi.

Sasa wewe ni mjinga au mshenzi?

Logical consistency itatufikisha kufikia kusema kuwa tusingetakiwa kuwepo hapa Duniani Mungu angetuweka sehemu nyengine nzuri tofauti na duniani ambako si pazuri kuna corona na majanga mengine,na sababu ya kufanya hivyo ni kwamba Mungu anao uwezo wote hivyo anaweza kufanya hivyo.
 
Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
56,773

Na kwa sababu hatupo katika sehemu hiyo nzuri zaidi ya dunia, Mungu huyo hayupo.

What is so hard to understand about that?
 
UHURU JR

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
10,814
2,000
Na kwa sababu hatupo katika sehemu hiyo nzuri zaidi ya dunia, Mungu huyo hayupo.

What is so hard to understand about that?
Mwengine kwa kutumia hiyo logical consistency atasema tungetakiwa tusihisi njaa kwa sababu Mungu anao uwezo huo,kwa sababu tu Mungu anao uwezo wote basi kila mtu kila kitu kitafanyika.
 
Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
56,773
2,000
Mwengine kwa kutumia hiyo logical consistency atasema tungetakiwa tusihisi njaa kwa sababu Mungu anao uwezo huo,kwa sababu tu Mungu anao uwezo wote basi kila mtu kila kitu kitafanyika.
Na tunaishi na kufa kwa njaa, kwa sababu Mungu huyo mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Angekuwepo, watoto masikini Africa wasio na hatia wasingekufa kwa njaa.

Habari za kuwepo huyo Mungu ni hadithi tu, hadithi zisizo na logical consistency.
 
UHURU JR

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
10,814
2,000
Na tunaishi na kufa kwa njaa, kwa sababu Mungu huyo mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Angekuwepo, watoto masikini Africa wasio na hatia wasingekufa kwa njaa.

Habari za kuwepo huyo Mungu ni hadithi tu, hadithi zisizo na logical consistency.
Huna hoja ya msingi ya kueleza kwanini hayupo Mungu,yani wewe kitu chochote kinachokujia kichwani hutumia kudai hakuna Mungu.

Unafit katika ule msemo wa kwamba ukibishana na mjinga atakushinda tu,kwanini hivi na sio vile kwani hapa na sio kule ndio hoja zako zenyewe kudai hakuna Mungu.
 
Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
56,773
2,000
Huna hoja ya msingi ya kueleza kwanini hayupo Mungu,yani wewe kitu chochote kinachokujia kichwani hutumia kudai hakuna Mungu.

Unafit katika ule msemo wa kwamba ukibishana na mjinga atakushinda tu,kwanini hivi na sio vile kwani hapa na sio kule ndio hoja zako zenyewe kudai hakuna Mungu.
Hoja yangu ya msingi ni logical consistency.

Nimekuuliza unaikubali logical consistency?

Mpaka sasa hujaeleweka kama unaikubali logical consistency au unaikataa.
 
tilmikha

JF-Expert Member
Feb 27, 2013
469
500
Unaweza kuthibitisha ni kweli hakutaka iwe hivyo na yupo at all na kwamba hizo habari za "hakutaka iwe hivyo" si hadithi tu?
Ameeleza katika Quran ni vile hujapata muda wa kukisoma kitabu kwa utulivu.
 
Emmanuel J. Buyamba

Verified Member
May 24, 2013
1,071
2,000
Duuh mufunge misikiti ina maana hamuamini kwamba Mungu ni muweza wa yote hili ni jaribu tusiogope wapendwa wa kuogopwa ni Mungu pekeyake kama imepangwa hatuna namna kifo kipo kimeandaliwa kwa kila mmoja wetu hatuwezi kukikimbia cha msingi mimi kwa kwa upande wangu naona ibada ziendelee kama kawa ila elimu ya jinsi ya kujikinga na corona itifaki izingatiwe Asanteni 🙏🙏🙏
Huwa tunafanya majaribio endapo kinachokuja kutokea hatukijui ama hatuna uhakika nacho,

Mungu anapokupa majaribu huwa hajui matokeo ya karibu hilo?

Na kama anajua majibu yatakavyokuwa, hilo jaribu huwa ni la nini?

Nikisema kuwa hizi habari za Mungu muweza yote,mjuzi wa yote na mwenye upendo kwenu kiasi cha kuwaahidi pepo ya milele hayupo na ni story tu nitakuwa nakosea wapi?
 
UHURU JR

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
10,814
2,000
Hoja yangu ya msingi ni logical consistency.

Nimekuuliza unaikubali logical consistency?

Mpaka sasa hujaeleweka kama unaikubali logical consistency au unaikataa.
Hata kwa logical consistency huwezi kusema hakuna Mungu.
 
Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
56,773
2,000
Hata kwa logical consistency huwezi kusema hakuna Mungu.
Hapa umeeleza bila kuelezea sababu.

Hutakiwi kusisitiza logical consistency bila kuelezea sababu za vitu.

Sababu za vitu ndizo zinazoleta. consistency.

Because of this, that. The logic is consistent.

Wewe unaongelea logical consistency bila kutumia logical consistency.

Dhana ya kuwepo kwa Mungu wako ina contradictions. Contradictions ambazo hazijawa resolved.

Hivyo haina logical consistency.

Kitu chenye contradictions ambazo hazijatatuliwa, hakina logical consistency.

You have the opposite of logical consistency.

You have acontradiction.
 
Ndio maana nikakwambia huna hoja ya kufanya useme hakuna Mungu,unachokifanya ni kuforce tu. Haya lete hizo sababu zako halafu tuone ni vp kwa sababu useme hakuna Mungu.
 
Luteni Jr

Senior Member
Jul 1, 2019
119
225
Huwa tunafanya majaribio endapo kinachokuja kutokea hatukijui ama hatuna uhakika nacho,

Mungu anapokupa majaribu huwa hajui matokeo ya karibu hilo?

Na kama anajua majibu yatakavyokuwa, hilo jaribu huwa ni la nini?

Nikisema kuwa hizi habari za Mungu muweza yote,mjuzi wa yote na mwenye upendo kwenu kiasi cha kuwaahidi pepo ya milele hayupo na ni story tu nitakuwa nakosea wapi?
Mungu yupo na ndiye anayetuweka hai mpaka sasa ukiwa na imani ila kama huna ni sawa na kazi bure na ndo nyie mnaoamini kuwa hakuna Mungu nchi zingine wanaabudu masanamu na miti usiwe mpagani amini kama kifo kipo na pepo imo pia ndani yake utapanda ulichovuna hapa duniani.
 
Emmanuel J. Buyamba

Verified Member
May 24, 2013
1,071
2,000
Mungu yupo na ndiye anayetuweka hai mpaka sasa ukiwa na imani ila kama huna ni sawa na kazi bure na ndo nyie mnaoamini kuwa hakuna Mungu nchi zingine wanaabudu masanamu na miti usiwe mpagani amini kama kifo kipo na pepo imo pia ndani yake utapanda ulichovuna hapa duniani.
Nilichokuuliza hujajibu na ulichojibu sijakuuliza,unalijua hilo?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom