UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,239
- 7,603
Uligusia kiarabu ndio maana nimeuliza tatizo ni lugha au kila mtu kuelewa?Kwa nini hili ni swali la this or that?
For a question to be a truly"this or that" question, there has to be mutual exclusivity.
Where is the mutual exclusivity in your question?
What is causing this mutual exclusivity?
Mnasema Mungu ni mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.
Kwa nini hakuweka maagizo yake yote katika DNA ya kila mtu anayezaliwa kwa namna ambayo hakuna mtu atakayehitaji kitabu, cha lugha yoyote, kuelewa Mungu anataka tuishi vipi?
Kwa nini tunategemea vitabu, vyenye matatizo mengi ya tafsiri, tamaduni na vyenye kuhojiwa authenticity yake, wakati Mungu aliweza kutupa maagizo yake straight kwenye DNA, kila anayezaliwa awe kazaliwa na maagizo yote ya Mungu, hata akizaliwa pasipo na kitabu awe hana haja ya kitabu?
Kwa nini huyo Mungu wenu hakufanya hivyo, kuweka maagizo yote kwenye DNA, badalq ya kutupa vitabu vyenye mizozo mingi, kama kweli yupo, ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote?