Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,272
- 105,471
That is a cyclical logical fallacy.He's there because he said he is.
That is a cyclical logical fallacy.He's there because he said he is.
So why are you distorting words like a dyslexic?No, I am not,are you?
No it's not, huwezi kutumia maandiko ya binaadam ambae amejaa mapungufu halafu kumkanusha alie muumba. Kila mtu anauwezo wake wa kureason hatupo sawa. Kilichokuwa proved today kupitia source za wanaadamu zinaweza kuonekana na makosa badae.That is a cyclical logical fallacy.
biblia inasisitiza kuombeana ko mzazi wako akikuombea kama ana imani Mungu anajibu maombi yake. Kwahyo kama mzazi kakuombea ufufuke jibu lake mbele za Mungu litakuwa ni lipi?Kwa hiyo sio muhimu mtu kuwa na imani ili muujiza utendeke?
Mungu ni mwema wakati wote ndugu yangu. Mungu hapaki ubaya hata siku moja kama ulisikia hivyo ulipata fundisho tofauti kidogo na fundisho la kristo. Mungu anajua ubaya wetu ila hapangi ubaya wetu. Shetani alikuwa ameunderestimate uwezo wa Mungu wa kuona mbali hivo aliposikia swala la Yesu kuzaliwa aliamua kutuma watu wake waje wamdhuru ili lengo lisitimie kumbe nd anachochea lengo. Umeshaambiwa kuwa funga na kusali usiingie majaribuni well ukiingia ni shauri yako maan unaweza tumika kuokoa wenzio kwa kupoteza nafsi yako. Tuongoke ndugu yangu Yesu anakuja yu karibu watu wanafarakana mabalaa ya nchi yanaongeka njaa na kila mateso. Je hyo inakupa kiashiria gani.Kwani lipi ambalo sio plan mbele za mungu wakati yeye ndio mpangaji wa kila kitu na hakuna kitu kinafanyika bila yeye kukiruhusu?
Halafu
Kama ilikua ni plan hao mafarisayo waliomsulubu yesu kwa kumfanyia ubaya walikuwa wanafanya hayo kwa hiari yao au kwa kulazimika kufata plan ya mungu ambayo hawakuweza kuiepuka kwasababu aliipanga before?
Na dhambi.Umekombolewa na nini?
Walikuwepo manabii walitenda kwa nafasi yao hivo sisi niseme naam tuna bahati sana maan kaja mkuu zaidi ya hao manabii.So una maanisha watu waliokufa kabla yake hawajakombolewa?
Moto ni kwaajili ya wakaidi 2 ili kufuta dhambi kabisa.Halafu
Ungeokolewa kusingekua na dhana ya moto baada ya kifo?
Hell is not for everbody but the wicked only.He just died for nothing that's why the hell is there waiting for you
Kuokoa maelfu na maelfu ya watu dhidi ya kikombe cha gadhabu ya Mungu.Lengo la yesu lilikua ni lipi?
Mussa alikuwa mwanadamu hivo alikuwa hatimizi 100% matakwa ya Mungu hivo kutumwa mkuu zaidi kuliko yeye naam nae ni neno bwana. Nd maan kipindi cha Mussa watu walivomuasi Mungu waliumwa na nyoka lakini Vipi mimi n wewe sahv tukimtenda Mungu hata kibao hatuguswi.Maana ku preach kulianza kabla yake way back huko nyuma enzi za kina mussa
Kwanza kile kipigo mti mimi na wewe ndugu yangu tusingefika msalabani maan pale alivokiona kile kipigo hali ya mwili ilikosa courage ila soul ilikuwa pure kuliko maelezo. Nd maan jiwe la uzani wake lilikula mbanga kwa hasira alizokuw nazo angemkuta farisayo pale hali isingekuw nzuri ila Mungu ni wa Rehema lengo lilikuwa kuokoa mwanadamu sio kumwangamiza( hapo jokes kdg upate concept)Hawakumuweza wakati alichezea kipigo mpaka akawa analia eloi eloi?
Sas Mungu unadhani Muoga kama wewe apange kuteswa afu atumie ubabe akimbie nani angemuelewa sas hapo?Au mimi sijakuelewa ubaposema hawakumuweza unamaanisha kumuweza kupi?
Ndyo badala ya kupigwa mawe nikizini ila sasa naambiwa niseme tu Nampokea Yesu kuwa mwokozi wangu na kubatizwa kwa maji mengi napokea uzima wa milele.Misumari imekufanya uishi kwa neema gani?
Jibu moja na hapo juu. Ahsante.Neema ipi unayoipata baada ya yesu kupigwa misumari?
Hiyo Quran una uhakika gani kwamba si maandiko ya watu tu?No it's not, huwezi kutumia maandiko ya binaadam ambae amejaa mapungufu halafu kumkanusha alie muumba. Kila mtu anauwezo wake wa kureason hatupo sawa. Kilichokuwa proved today kupitia source za wanaadamu zinaweza kuonekana na makosa badae.
Allah yupo kwasababu amesema yupo katika maneno yake, ambayo wewe huyaamini, na ameweka alama na dalili mbalimbali kuwasadia watu waamini uwepo wake.
Si unafaham kama Quran ina translations? Sasa hizi ndio unaweza kuona kama zina contradictions, na nyenginezo wala hazipo sahihi.Hiyo Quran una uhakika gani kwamba si maandiko ya watu tu?
Na kama si mandiko ya watu tu, kwa nini ina contradictions nyingi sana?
Quran kuhitaji translation ni ushahidi kwamba Mungu hayupo.Si unafaham kama Quran ina translations? Sasa hizi ndio unaweza kuona kama zina contradictions, na nyenginezo wala hazipo sahihi.
Imeshushwa kwa lugha ya kiarabu brother, na Quran ina aya za aina mbili, najua huku nitakupoteza so sitaki nizame sana. Ninachokiona ulitumia muda mdogo sana kutafuta ukweli, kwa miaka zaidi ya 25 bado nausoma uislamu.Quran kuhitaji translation ni ushahidi kwamba Mungu hayupo.
Unaelewa hilo?
Unaelewa habari nzima ya kwamba "Quran imeshushwa kwa lugha ya Kiarabu" inaonesha huyo Mungu hayupo, na kwamba hiyo dini ni ukoloni wa kiutamaduni tu wa Waarabu?Imeshushwa kwa lugha ya kiarabu brother, na Quran ina aya za aina mbili, najua huku nitakupoteza so sitaki nizame sana. Ninachokiona ulitumia muda mdogo sana kutafuta ukweli, kwa miaka zaidi ya 25 bado nausoma uislamu.
You got brain Kiranga use it.
elewa kwanza..Kwani sanitizer tunakunywaga?
Uislamu haukuanza uarabuni,bali Mtume Muhammad peace be upon him, alikuja kuhitimisha idadi ya Mitume iliyopita kabla yake ambao hawakuwa waarabu, suala la lugha ukisoma unaelewa. Na wala hutakua na shaka, Islam is an intellectual religion, inamtaka muumini asome ili asiabudu kibubusa.Unaelewa habari nzima ya kwamba "Quran imeshushwa kwa lugha ya Kiarabu" inaonesha huyo Mungu hayupo, na kwamba hiyo dini ni ukoloni wa kiutamaduni tu wa Waarabu?
Ushawahi kujiuliza kwa nini Allah asiweke maneno yote ya kwenye Quran katika DNA ya kila mtu, kwa lugha yake huyo mtu, kila mtu anapozaliwa, ili hata wasiojua Kiarabu waweze kuijua Quran bila kuhitaji tafsiri na mizozo inayotokana na tafsiri?
Hizo sifa ulizozitaja za Allah hapo tupo sawa kabisa ila tatizo linakuja hapo kwenye kufanya corona ishwende kuingia msikitini au kuwalinda na corona hapo ndio nimetaka kujua je aliahidi hivyo?Quran inasema kwamba Allah ni mwenye rehema nyingi, mwenye upendo usio kifani.
Sasa imekuwaje Allah mwenye rehema nyingi na upendo usio kifani anaachia maambukizi ya Covid-19 yawezekane mpaka msikitini kiasi watu wasimamishe ibada misikitini?
Si angefanya hata Coronavirus ishindwe kuingia msikitini watu tujue Uislamu ni dini ya kweli na Allah anawalinda waumini wake?
Allah kashindwa kuwalinda waumini wake dhidi ya Corinavirus mpaka misikitini?
Tatizo lako ni Qur'an kuwa ya kiarabu au watu wote kuelewa Qur'an?Unaelewa habari nzima ya kwamba "Quran imeshushwa kwa lugha ya Kiarabu" inaonesha huyo Mungu hayupo, na kwamba hiyo dini ni ukoloni wa kiutamaduni tu wa Waarabu?
Ushawahi kujiuliza kwa nini Allah asiweke maneno yote ya kwenye Quran katika DNA ya kila mtu, kwa lugha yake huyo mtu, kila mtu anapozaliwa, ili hata wasiojua Kiarabu waweze kuijua Quran bila kuhitaji tafsiri na mizozo inayotokana na tafsiri?
nipe reference kutoka kwenye biblia ikisisitizabiblia inasisitiza kuombeana ko mzazi wako akikuombea kama ana imani Mungu anajibu maombi yake. Kwahyo kama mzazi kakuombea ufufuke jibu lake mbele za Mungu litakuwa ni lipi?
Mungu sio mwema wakati wote kwa maana aliua kila mtoto wa kwanza katika kila familia kwenye nchi ya misri pamoja na mifugoMungu ni mwema wakati wote ndugu yangu. Mungu hapaki ubaya hata siku moja kama ulisikia hivyo ulipata fundisho tofauti kidogo na fundisho la kristo.
hapana sio kweliMungu anajua ubaya wetu ila hapangi ubaya wetu.
kumbuka hata hayo mawazo ya shetani ya kuchukulia poa uwezo wa Mungu, Mungu alikwisha kuyaona hata kabla hajamuumba huyo shetani.Shetani alikuwa ameunderestimate uwezo wa Mungu wa kuona mbali hivo aliposikia swala la Yesu kuzaliwa aliamua kutuma watu wake waje wamdhuru ili lengo lisitimie kumbe nd anachochea lengo.
kwani ni vibaya?Umeshaambiwa kuwa funga na kusali usiingie majaribuni well ukiingia ni shauri yako maan unaweza tumika kuokoa wenzio kwa kupoteza nafsi yako.
njaa, mateso, mifarakano na mabalaa yamekujaje wakati yesu alikufa msalabani kwa ajili ya kutukomboa?Tuongoke ndugu yangu Yesu anakuja yu karibu watu wanafarakana mabalaa ya nchi yanaongeka njaa na kila mateso. Je hyo inakupa kiashiria gani.
bahati gani?Na dhambi.
Walikuwepo manabii walitenda kwa nafasi yao hivo sisi niseme naam tuna bahati sana maan kaja mkuu zaidi ya hao manabii.
hapana moto sio kwa ajili ya kufuta dhambi kwakua sio temporary punishmentMoto ni kwaajili ya wakaidi 2 ili kufuta dhambi kabisa.
how did wicked come to be while we are all saved by Jesus through crucifixion?Hell is not for everbody but the wicked only.
kipindi cha mussa mabalaa yalikuwepo na baada ya ujio wa yesu hayo mabalaa yapoKuokoa maelfu na maelfu ya watu dhidi ya kikombe cha gadhabu ya Mungu.
Mussa alikuwa mwanadamu hivo alikuwa hatimizi 100% matakwa ya Mungu hivo kutumwa mkuu zaidi kuliko yeye naam nae ni neno bwana.
kwani kipindi cha mussa watu walikuwa wanakufa kwa corona, kaswende, ukimwi, cancer, typhoid, malaria?Nd maan kipindi cha Mussa watu walivomuasi Mungu waliumwa na nyoka lakini Vipi mimi n wewe sahv tukimtenda Mungu hata kibao hatuguswi.
kumuokoa dhidi ya kipi?Kwanza kile kipigo mti mimi na wewe ndugu yangu tusingefika msalabani maan pale alivokiona kile kipigo hali ya mwili ilikosa courage ila soul ilikuwa pure kuliko maelezo. Nd maan jiwe la uzani wake lilikula mbanga kwa hasira alizokuw nazo angemkuta farisayo pale hali isingekuw nzuri ila Mungu ni wa Rehema lengo lilikuwa kuokoa mwanadamu sio kumwangamiza( hapo jokes kdg upate concept)
hujaelewa hoja yanguSas Mungu unadhani Muoga kama wewe apange kuteswa afu atumie ubabe akimbie nani angemuelewa sas hapo?
saud arabia mpaka leo ukizini unapigwa mawe mpaka kufa, kama yesu alitumwa kwasababu mussa hakua na 100% ya kufanya kwa utimilifu iweje kuwe na imperfection wakati yeye anafanya kwa viwango vya juu bila kukosea?Ndyo badala ya kupigwa mawe nikizini ila sasa naambiwa niseme tu Nampokea Yesu kuwa mwokozi wangu na kubatizwa kwa maji mengi napokea uzima wa milele.
rudi ujibu tenaJibu moja na hapo juu. Ahsante.
Kwa nini hili ni swali la this or that?Tatizo lako ni Qur'an kuwa ya kiarabu au watu wote kuelewa Qur'an?
Baba mwenye uwezo wa kuwalinda wanawe, mwenye upendo wa kuwalinda wanawe, na mwenye ujuzi wa kuwalinda wanawe.Hizo sifa ulizozitaja za Allah hapo tupo sawa kabisa ila tatizo linakuja hapo kwenye kufanya corona ishwende kuingia msikitini au kuwalinda na corona hapo ndio nimetaka kujua je aliahidi hivyo?
Hujajibu hoja yangu.Uislamu haukuanza uarabuni,bali Mtume Muhammad peace be upon him, alikuja kuhitimisha idadi ya Mitume iliyopita kabla yake ambao hawakuwa waarabu, suala la lugha ukisoma unaelewa. Na wala hutakua na shaka, Islam is an intellectual religion, inamtaka muumini asome ili asiabudu kibubusa.
Sasa nikuulize hapo endapo umesikia kuna tukio limetokea la baba(mwenye sifa hizo ulizozitaja) kuacha mlango wazi na wanawe kuliwa na simba,je ukisikia tukio hilo utasemaje?Baba mwenye uwezo wa kuwalinda wanawe, mwenye upendo wa kuwalinda wanawe, na mwenye ujuzi wa kuwalinda wanawe.
Akiwa na uwezo wa kufunga mlango Simba asiingie ndani ya nyumba yake na kuwala wanawe.
Akaacha mlango wazi, Simba akaingia ndani ya nyumba, na kuwala wanawe.
Utauliza kama aliahidi kuwalinda wanawe?
Huo ninwajibu wake unaotikqna na charactwristics zake za ubaba, uwezo, ujuzi na upendo. Watoto wakikiwa na Simba, hizo characteristics zote zinawekewa question mark.
Zaidi.
Hizi hapa ahadi za Allah, kwa mujibubwa maandiko mnahosema ninyake.
Allah says:
And your Lord said: “Invoke Me and I will respond to your invocation…”
Qur’an 40[Gafir]:60
Watubwanamuomba Covid-19 iishe. Lakini hajawasikiliza. Matokeo yake hata huko misikitini inawapiga watu.
Huyu Allah yupo kweli au tunazugana tu?
Allah (SWT) says:
“Therefore remember Me and I will remember you. And be grateful to Me and never be ungrateful to Me.”
Qur’an 2[Baqarah]:152
Watu wanamkumbuka Allah wanaenda msikitini kupiga dua. Lakini Allah kawasahau kawaacha wanatandikwa na Covid-19 mpaka wanafunga misikiti.
Allah (SWT) says:
And Allah would not punish them while you (Muhammad ﷺ) are amongst them, nor will He punish them while they seek (Allah’s) Forgiveness.
Qur’an 8[Anfal]:33
Allah kasema ukiomba msamaha hatakuhukumu. Watu wanakwenda misikitini na kuomba msamaha lakini Allah kashindwa hata kuzuia wasipatwe na Covid-19.
Baba gani anaachia wanawe wauawe kwa mafungu na pandemic mpaka wanafunga nyumba yake wakati ananuwezo wa kulizuia?
Huyu Allah yupo kweli au ninstories tu?